Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,712
- 11,611
Wakuu ukisikia maajabu ya soka ndio haya Ajax Amsterdam ya nchini uholanzi imekosa ubingwa kimaajabu.
Mpaka mechi ya 29 huku zikiwa zimesalia mechi tano pekee, Ajax alikuwa amemuacha mpinzani wake, Psv kwa jumla ya alama tisa.
Mambo yalienda kombo kwani Ajax alipoteza mechi mbili mfululizo na kutoa sare michezo miwili na kisha kushinda mchezo mmoja wa mwisho. Huku mpinzani wake Psv akishida michezo yote mitano na kutwaa ubingwa wa erevidisie.
Sipati picha kama hili lingetokea bongo