The 13
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 2,835
- 3,294
[emoji23][emoji23][emoji56][emoji23][emoji56][emoji23][emoji23][emoji38][emoji56][emoji23][emoji23][emoji16][emoji4][emoji38][emoji4][emoji16][emoji4][emoji16][emoji16]mkuuuHohohohohooooooooo
[emoji23][emoji23][emoji56][emoji23][emoji56][emoji23][emoji23][emoji38][emoji56][emoji23][emoji23][emoji16][emoji4][emoji38][emoji4][emoji16][emoji4][emoji16][emoji16]mkuuuHohohohohooooooooo
ChaiiiiiiiiiiiiKuna mmoja alikua anajaribu kumkamata pedeshee mmoja. Pedeshee akasoma namba yake kifuani na kumpigia RPC. RPC akamwambia mpe simu huyo mbwa. Basi pedeshee akampa yule kibaka simu na kumuambia ongea na bosi wako. RPC alimwambia yule bwege, wewe hapo unafanya nini wakati kuanzia juzi ulipangiwa kazi kijiji fulani uswekeni huko ndaani ndaani umasaini. Hebu rudisha simu ya mwenyewe funga mguu ,geuka nyuma uwahi hapa ofisini uchukue barua yako uishie.
Ukiwa unakula na ma RPC na ma RCO nchi utakua umeiweka mfukoni.
Chaiiiiiiiiiiiiikyna mmoja tulikuwa tunafanya biashara nilipogundua tu ni askari polisi nikabadilisha bei palepale na mwisho nikamwambia siuzi tena mbwa wangu..... nilikuwa namuuzia mbwa katoka kigamboni hadi tegeta lakini alipojitambulisha ni polisi sijui anafanya kazi mbeya , nikabadili gia fasta. SIJUI ANANIFIKIRIAGAJE MAANA HADI LEO ANANISUMBUA LAKINI SITAMSAIDIA KWA CHOCHOTE.
hahahhahahhahahahhahahahahaaahahahahahahahhahahahahaaahahhhahahahahhahahahahahhaHalafu wananjaa kinoma
Samaki mmoja akioza .......Ni watu poa tu sema msafara wa mamba kenge hawakosi
Wana nidhamu ya kinafiki sijapata kuonaWaambie ipo siku wanaweza fokea wakubwa wao wa kazi ohooo...
Yaan sijui wanajikutaga kina nani?
Juzi kati hapa nilikuwa na shida polisi, kufika ka mdada eti kananifokea bila ht sababu. Nikikaangalia ka mdada kenyewe kadogo yaan nakazidi umri mbali tu, nikakapuuzia.
Mara akatokea jamaa mmoja hapo nafahamiana nae seems like alikuwa mkubwa kwa cheo. Alivyonipokea basi nacho kikaanza kujiongelesha eti kumbe ulikuwa mgeni wa flan, si ungesema. Mwenyewe nikawa niko busy tu na yule jamaa ht sikukajibu tena wala kukafuatilia.
Ila kaliniboa balaa.
Acha kutumia misemo ovyo kila msemo una pahala pake pa kutumika wanavyo pambana na majambazi wanakesha nje wengine wanakesha majini..Hila kuna baadhi awafuati misingi ya kazi yenyeweSamaki mmoja akioza .......
Lakini ni kwa huku Tz,na baadhi ya nchi za africa. Halafu naona hawabadiriki,wakati nchi nyingi siku hizi zinaendelea kustaarabika. Askari inatakiwa uwe rafiki na watu wengine,ukijifanya kama mnyama,mwisho watawafanyia unyama hata ndugu zaoMara nyingi ajali zinazowahusu polisi...huwaga hazina taarifa za ziada...pale inapotokea gari ya polisi imepata ajali yenyewe...wala hawasemi labda chanzo cha ajali ni UZEMBE WA DEREVA(Askari Mwenyewe)...AU MWENDOKASI...
Unakuta taarifa ambazo hazina hata maana...eti alikuwa anaenda kwao...sasa kwani akiwa anaenda kwao ndio iwe sababu ya ajali...?
ILA HAWA WAKIWAGA KWENYE UNIFORMS ZAO...UTASEMA WAO SIO BINADAM KAMA SISI...ROHO PIA ZINABADILIKA...
We mi ni keUngechukua namba ili siku ukalambiishe koni[emoji23]
Kwasasa kwasababu nawajua mabosi wao. Nawatuma sigara muda wowote. Naweza kuingia kituo cha mkoa nikamtuma desk sergeant sigara na aiwashe huko huko huku mimi namuelekeza bosi wake mambo yangu binafsi. Ukijua jinsi ya kukamua pumbu zao hawa mbwa hawakupi shidajamaa huwapendi kabisa mapot .... Hii post yako ina matusi ma3 kwa pot Mmoja... Bwege! Mbwa! Kibaka!
Nakubaliana na wewe kuwa hao wachache wasiofuata misingi ya kazi zao,huaribu sifa za wenzao.Acha kutumia misemo ovyo kila msemo una pahala pake pa kutumika wanavyo pambana na majambazi wanakesha nje wengine wanakesha majini..Hila kuna baadhi awafuati misingi ya kazi yenyewe
Utajua siku tukiwa faraghaWe mi ni ke
Khaaaa[emoji15] [emoji6]Utajua siku tukiwa faragha
Yupo mmoja kwa sababu ya njaa nimekuwekea bili ya unga dukani kwa mpemba.Wanachukiwa sana polisi. Nina marafiki polisi lakini siweki imani yangu kwao. Halafu wananjaa kinoma
HAPANA Mzee mbisse hakuwa Hivyo.Km ni kweli...anastahili...
Angekuwa kweli mtu safi angeachana na hii kazi chafuHAPANA Mzee mbisse hakuwa Hivyo.
alikuwa RCO wa Pwani alifanya kazi,kwa weledi Enzi za Operation Kibiti.
baada ya hapo,akahamishiwa Mara Kanda maalumu.
Then mpaka mauti ina mkuta akawa RCO wa Mkoa wa kipolisi Ilala.
Ni Mlokole Safi KABISA na Yupo Peace Sanaa.
hakuwa na makando kando YOYOTE Yale.
alikuwa Mzee wa kanisa.
mwisho KABISA,Kesi ya Akwilina IPO Kinondoni. na kama itafika ngazi ya mkoa wa Dar (Kanda maalumu) yeye HAIMUHUSU
Daaah
Ni vile watu wanachuki na polisi, LAKINI huyu Mzee hakuwa na shida YOYOTE ile alikuwa mtu wa Haki Sana na kweli.na ndiyo maana wakamuhamisha Pwani. Enzi za Kibiti
R.I.P A.Mbisse
HAPANA,Alikuwa Mzee wa Haki na ndiyo maana Pwani (Kibiti) walimuondoa.Angekuwa kweli mtu safi angeachana na hii kazi chafu