Maajabu ya ajali za Polisi

Maajabu ya ajali za Polisi

polisi mnaosoma hiz comments? mjirekebishe jamanai hii dalili siyo nzuri mkumbuke hawa wanao wachukia wengine wanahudumia wazazi na watoto zenu ambao siyo polisi. kuna madokta, walimu, manesi na kada nyingine nyingi nawao wakiamua kuwatreat ndugu zenu hivyo kweli amani itakuwepo hapo.
 
polisi mnaosoma hiz comments? mjirekebishe jamanai hii dalili siyo nzuri mkumbuke hawa wanao wachukia wengine wanahudumia wazazi na watoto zenu ambao siyo polisi. kuna madokta, walimu, manesi na kada nyingine nyingi nawao wakiamua kuwatreat ndugu zenu hivyo kweli amani itakuwepo hapo.
Hawasikiagi hao.
 
Katika watu ninao wachukia zaidi ni hao jamaa,kuna sku kulkuwa na sherehe nyumban vibali vya kupga mziki tulkuwa nanyo wakaja saa 7 na sisi(familia) ndo tulkuwa tumetoka ukumbini kwa Bahati nzur wote tulifikia ndani na kulala nje kulkuwa kuna mziki unaendelea kupgwa baadae wakaja polisi wakapga Risasi juu watu wakakimbia wakamshka mwenye mziki,wakagonga mlango na kutaka tutoke ili watukamate tukagoma kutoka,wakawa wanatshia eti watauvunja mlango,hawa jamaa nguvu nyingi akili hawana
 
Bora ata angeweka magunia hata mawil ya mchanga gar ingetulia
Hata hivyo Prado sio gari ya safari ndefu na kama unaenda safari ndefu inatakiwa uwe dereva kweli gari haina balance ya kutosha inapokua kwenye mwendo kasi inakua nyepesi kama karatasi tuu...
 
Kuna mmoja alikua anajaribu kumkamata pedeshee mmoja. Pedeshee akasoma namba yake kifuani na kumpigia RPC. RPC akamwambia mpe simu huyo mbwa. Basi pedeshee akampa yule kibaka simu na kumuambia ongea na bosi wako. RPC alimwambia yule bwege, wewe hapo unafanya nini wakati kuanzia juzi ulipangiwa kazi kijiji fulani uswekeni huko ndaani ndaani umasaini. Hebu rudisha simu ya mwenyewe funga mguu ,geuka nyuma uwahi hapa ofisini uchukue barua yako uishie.
Ukiwa unakula na ma RPC na ma RCO nchi utakua umeiweka mfukoni.
Ibra Shayo kawakomesha kwa style hii
 
Bora ata angeweka magunia hata mawil ya mchanga gar ingetulia
Umenikumbusha mbali sana jamaa angu alikua nayo hiyo yeye alikua akitaka kusafiri ananunua tofali za block kadhaa zingine anaweka pembeni ya siti ya nyuma mbili na tofali zingine anaweka nyuma anazipanga vizuri na akifunika utadhani kuna mzigo kaweka alipokuja kuliuza alishukuru sana hamna gari humo ya safari Mimi mwenyewe unipakii kwenye Prado safari ya mbali labda niendeshe mwenyewe kwa kunyata...
 
Back
Top Bottom