Maajabu ya ajali za Polisi

Maajabu ya ajali za Polisi

Hohohohohohoooooooo
Kuna mmoja alikua anajaribu kumkamata pedeshee mmoja. Pedeshee akasoma namba yake kifuani na kumpigia RPC. RPC akamwambia mpe simu huyo mbwa. Basi pedeshee akampa yule kibaka simu na kumuambia ongea na bosi wako. RPC alimwambia yule bwege, wewe hapo unafanya nini wakati kuanzia juzi ulipangiwa kazi kijiji fulani uswekeni huko ndaani ndaani umasaini. Hebu rudisha simu ya mwenyewe funga mguu ,geuka nyuma uwahi hapa ofisini uchukue barua yako uishie.
Ukiwa unakula na ma RPC na ma RCO nchi utakua umeiweka mfukoni.
 
kyna mmoja tulikuwa tunafanya biashara nilipogundua tu ni askari polisi nikabadilisha bei palepale na mwisho nikamwambia siuzi tena mbwa wangu..... nilikuwa namuuzia mbwa katoka kigamboni hadi tegeta lakini alipojitambulisha ni polisi sijui anafanya kazi mbeya , nikabadili gia fasta. SIJUI ANANIFIKIRIAGAJE MAANA HADI LEO ANANISUMBUA LAKINI SITAMSAIDIA KWA CHOCHOTE.
Hata nyie hamfai wanao washobokea ni hao hao maboya mi mwenyewe sipendi maraia kama nini vile, hohohohohohooooooooo
 
Hohohohohooooooo
polisi mnaosoma hiz comments? mjirekebishe jamanai hii dalili siyo nzuri mkumbuke hawa wanao wachukia wengine wanahudumia wazazi na watoto zenu ambao siyo polisi. kuna madokta, walimu, manesi na kada nyingine nyingi nawao wakiamua kuwatreat ndugu zenu hivyo kweli amani itakuwepo hapo.
 
Hohohohohooooooo
Katika watu ninao wachukia zaidi ni hao jamaa,kuna sku kulkuwa na sherehe nyumban vibali vya kupga mziki tulkuwa nanyo wakaja saa 7 na sisi(familia) ndo tulkuwa tumetoka ukumbini kwa Bahati nzur wote tulifikia ndani na kulala nje kulkuwa kuna mziki unaendelea kupgwa baadae wakaja polisi wakapga Risasi juu watu wakakimbia wakamshka mwenye mziki,wakagonga mlango na kutaka tutoke ili watukamate tukagoma kutoka,wakawa wanatshia eti watauvunja mlango,hawa jamaa nguvu nyingi akili hawana
 
Hata mimi siwa pendi maraia kama nini vile hohohohohohoooooo kuwa raia ni tabu sana,
 
Mara nyingi ajali zinazowahusu polisi...huwaga hazina taarifa za ziada...pale inapotokea gari ya polisi imepata ajali yenyewe...wala hawasemi labda chanzo cha ajali ni UZEMBE WA DEREVA(Askari Mwenyewe)...AU MWENDOKASI...

Unakuta taarifa ambazo hazina hata maana...eti alikuwa anaenda kwao...sasa kwani akiwa anaenda kwao ndio iwe sababu ya ajali...?

ILA HAWA WAKIWAGA KWENYE UNIFORMS ZAO...UTASEMA WAO SIO BINADAM KAMA SISI...ROHO PIA ZINABADILIKA...
Ndio maana polisi hawapendwi
 
Kuna mmoja alikua anajaribu kumkamata pedeshee mmoja. Pedeshee akasoma namba yake kifuani na kumpigia RPC. RPC akamwambia mpe simu huyo mbwa. Basi pedeshee akampa yule kibaka simu na kumuambia ongea na bosi wako. RPC alimwambia yule bwege, wewe hapo unafanya nini wakati kuanzia juzi ulipangiwa kazi kijiji fulani uswekeni huko ndaani ndaani umasaini. Hebu rudisha simu ya mwenyewe funga mguu ,geuka nyuma uwahi hapa ofisini uchukue barua yako uishie.
Ukiwa unakula na ma RPC na ma RCO nchi utakua umeiweka mfukoni.
jamaa huwapendi kabisa mapot .... Hii post yako ina matusi ma3 kwa pot Mmoja... Bwege! Mbwa! Kibaka!
 
Back
Top Bottom