Maajabu saba ya dunia,hili la NANE

swagazetu

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
4,251
1,467
Ni maajabu kwa twiga mnyama mkubwa tena wa kutisha kupakiwa ndani ya ndege na kusafirishwa nje ya nchi.

Angekuwa twiga mdogo tungesema labda lakini twiga mkubwa ni maajabu
haina shaka hili liingizwe kwenye kitabu cha rekodi za duni Guiness na liingizwe liwe la nane kama ajabu la dunia ili kuwe na maajabu 8 ya dunia.

Naishukuru serikali ya ccm kutuingiza katika rekodi ya dunia.
 
Hivi kila nikijiulizaga kwa haya yooote madudu ya ccm, watanzania sijui wanaipendea nini, jaman watanganyika wenzangu tuamke hiki chama kitatucheleshea maendeleo wapendwa ohooo!!
 
twiga kusafirishwa kwa ndege siajabu kwakuwa kuna ndege kubwa zinazotumika kusafirishia mizigo.ila kwa hili la ndege ya malaysia ndio linapaswa kuwekwa kwenye rekodi ya maajabu ya dunia.
 
huwezi jua labda anatenguliwa baadhi ya viungo ili aweze kukaa kwenye ndege kwa urahs
 
twiga kusafirishwa kwa ndege siajabu kwakuwa kuna ndege kubwa zinazotumika kusafirishia mizigo.ila kwa hili la ndege ya malaysia ndio linapaswa kuwekwa kwenye rekodi ya maajabu ya dunia.

Ni kweli, hakuna aliyesema kuwa ameiteka wala hakuna nchi iliyotangaza kuwa imetua au kuanguka nchini kwao.
 
You never know Labda shingo inakunjwa kama Jogoo anavyoikunja shingo yake wakati ameweka pozi lake la kupumzika ndio Twiga anasafirishwa salama salimini.
 
Hivi kila nikijiulizaga kwa haya yooote madudu ya ccm, watanzania sijui wanaipendea nini, jaman watanganyika wenzangu tuamke hiki chama kitatucheleshea maendeleo wapendwa ohooo!!

sio kila alioko huku ni mtanganyika wengine ni watanzania
 
Haya tumekusikia, twambie mtoto wa Mshumbushi ameanza kwenda shule?
 
wewe unaongelea twiga tu,wlipakiwa wanyama wengi wa kila aina, tena wakiwa jike na dume,mie nadhani labaa viongozi wetu wana nia njema,labda wamesikia kuwa dunia itaangamizwa tena,hivyo wamefanya kama zama za NUHU na ile ndege ni kama SAFINA LA NUHU.
 
Twiga ni nini?weka picha ya twiga!

Z
Z
 
twiga kusafirishwa kwa ndege siajabu kwakuwa kuna ndege kubwa zinazotumika kusafirishia mizigo.ila kwa hili la ndege ya malaysia ndio linapaswa kuwekwa kwenye rekodi ya maajabu ya dunia.

sio ajabu? twiga anatoka porin anapita katikat ya mjin wa Arusha anaenda airport na kuingia kwenye ndege bila kuonekana.
 
Hivi kila nikijiulizaga kwa haya yooote madudu ya ccm, watanzania sijui wanaipendea nini, jaman watanganyika wenzangu tuamke hiki chama kitatucheleshea maendeleo wapendwa ohooo!!

we acha 2! ila mi nashukuru kjjn kwe2 wilaya ya chato wa2 wameshazinduka kulikimbia dubwa ccm na ma2main ye2 2015 magufuli hana chake maana mpaka sasa 2na kata 5 jimbon karibun sana makamanda m2ongeze nguvu
 
muanzisha thread ni mshamba ,kuna vitu virefu kwenda juu kuliko twiga vinasafirishwa kila siku dunia hii

i think hoja ni kwa nn ccm wanaruhusu haya?? tunapata sh ngapi??
 
Haa maajabu mbona yapo mengi tu tanzania mwanafunzi anaingia kidato cha kwanza hajui kusoma wala kuandika hivi hawa jamaa wa kutunza kumbukumbu za ajabu wanapatikana vipi manake tanzania kuna maajabu zaidi ya hayo waje wakusanye data.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom