Maajabu saba ya dunia,hili la NANE

Maajabu saba ya dunia,hili la NANE

twiga kusafirishwa kwa
ndege siajabu kwakuwa kuna ndege kubwa zinazotumika kusafirishia
mizigo.ila kwa hili la ndege ya malaysia ndio linapaswa kuwekwa kwenye
rekodi ya maajabu ya dunia.

Hata hilo la ndege ya Malaysia sio ajabu kwa kuwa sio ndege ya kwanza kupotea zipo ndege nyingi zilizopotea kabisa mpaka leo na zipo zilizopatikana baada ya miaka mingi tu.
 
muanzisha thread ni mshamba ,kuna vitu virefu kwenda juu kuliko twiga vinasafirishwa kila siku dunia hii

i think hoja ni kwa nn ccm wanaruhusu haya?? tunapata sh ngapi??

Wewe ndo mzigo kabisa, vitu virefu kama minara ya simu ni vinasafirishwa vikiwa vipande vipande kisha kuunganishwa pamoja kufanya mnara. Je Twiga mnyama hai alisafirishwaje kutoka porini mpaka 'eapoti' kisha kupakizwa kwenye ndege bila Serikali kujua?

Nyie ndiyo mnaotusumbua nchini kwetu tunaonekana watanzania wote wajinga kwa kuwa na rasilimali kibao lakini bado tunatembeza bakuli! Sura kama mshabiki wa Serikali mbili!
 
labda wanaenda kumuunganisha kama Eria ya redio ilivyo.
 
twiga anshingo ndefu hivo wali funua ndege kwa juu akapitisha shingo yake thn wakapaa!!! mbona simple2....
 
we acha 2! ila mi nashukuru kjjn kwe2 wilaya ya chato wa2 wameshazinduka kulikimbia dubwa ccm na ma2main ye2 2015 magufuli hana chake maana mpaka sasa 2na kata 5 jimbon karibun sana makamanda m2ongeze nguvu

Hii ndio namana ya kupashana habari na viongozi walifanyie kazi hili...Chato mkawape pongezi kwa kazi nzuri na muwaweke sawa kungojea chaguzi za serikali ya mtaa na vitongoji na uchaguzi mkuu. Hongereni wana Chato! Peoplessssss....Power!
 
kwani aliyekwambia ndege haiwezi kumpakiza twiga yoyote ni nani?
wewe umeshawahi kupanda ndege ukaona ndani kukoje?

sasa bora ya twiga ni mdogo je tembo je?
 
Ni maajabu kwa twiga mnyama mkubwa tena wa kutisha kupakiwa ndani ya ndege na kusafirishwa nje ya nchi.

Angekuwa twiga mdogo tungesema labda lakini twiga mkubwa ni maajabu
haina shaka hili liingizwe kwenye kitabu cha rekodi za duni Guiness na liingizwe liwe la nane kama ajabu la dunia ili kuwe na maajabu 8 ya dunia.

Naishukuru serikali ya ccm kutuingiza katika rekodi ya dunia.

kaka mambo mazito kama haya mnayechukulia kimasihara masihara namna hii? acheni hizo bana!
 
Ni maajabu kwa twiga mnyama mkubwa tena wa kutisha kupakiwa ndani ya ndege na kusafirishwa nje ya nchi.

Angekuwa twiga mdogo tungesema labda lakini twiga mkubwa ni maajabu
haina shaka hili liingizwe kwenye kitabu cha rekodi za duni Guiness na liingizwe liwe la nane kama ajabu la dunia ili kuwe na maajabu 8 ya dunia.

Naishukuru serikali ya ccm kutuingiza katika rekodi ya dunia.
aa, SIKUBALIANI NA WEWE, HIVI UMESAHAU KUNA WATU WALIWAHI KUIBA FEDHA ZA EPA NA SERIKALI IKAWA INAWABEMBELEZA WARUDISHE, BAADHI WALIRUDISHA WENGINE HAWAKURUDISHA MPAKA LEO, NA WAZIRI MKUU ALIPOULIZWA BUNGENI AKAJIBU MAFISADI WANA NGUVU WANAWEZA KUANGUSHA SERIKALI, SASA HILI LITAKUWA AJABU LA NGAPI KAMA SIO LA KWANZA.
 
Back
Top Bottom