Maajabu; Pundamilia ampanda Twiga

Si maajabu. Hawa jamaa inaonekana ni maswahiba wanaosaidiana kila mtu kwa nafasi yake. Huenda kuna uhaba wa chakula hivyo twiga anampa kampani rafiki yake lao ayafikie majani na kujishibisha. Inapendeza sana. Wakati binadamu tunauawana wanyama wanaokoana.
 
Tembo na Faru wamewaajiri ili kuongeza Ulinzi dhidi ya KI-NA-NA na washirika wake..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…