Si maajabu. Hawa jamaa inaonekana ni maswahiba wanaosaidiana kila mtu kwa nafasi yake. Huenda kuna uhaba wa chakula hivyo twiga anampa kampani rafiki yake lao ayafikie majani na kujishibisha. Inapendeza sana. Wakati binadamu tunauawana wanyama wanaokoana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.