Sijui ni kati ya wale waliofukuzwa na kauli ya JK!!!!!!
![]()
Nalikopy na kupaste!!!!Manshallah!!
Hii itakuwa photoshop aisee.
Sikulaumu wewe bali nailaumu teknolojia ambayo imemfanya binadamu kutoitumia akili yake ipasavyo matokeo yake hawez kukikubali kitu kwa uhalis wake. Hiyo ni picha halis kabisa.