Maajabu: Mti wa Mkoko wahama kutoka baharini kuja nchi kavu

Points zako ni weak sana kiongozi.
Kuna mchanga wa kushindilia mti usitikisike?
Na vipi kuhusu distance covered?
Jamaa yupo sawa,kwani kama usiku kulitokea kitu kama Tsunami hakiwezi kuhamisha mti eneo refu pamoja na mchanga mwingi wa kuushindilia huo mti?
 
Inawezekana kina cha maji kimepungua na kuufikia mkoko au ulishakufa sasa umetupwa beach na maji
 
Story haina uhakika labda tusubiri uhame tena ili tuwe na video mbili za ku-compare yaani before and after
 
Bora niwe dhaifu kuliko kuushangaa mti mkavu ukihama mimi nimekaa fukwe zote za bahari na ziwa kilichowashangaza nyie ni ilivyo simama nenda baharini kajaribu kuhamisha kisiki kilichojishindilia

Sasa chief unachobisha ni nini! Mwenyezi Mungu akiamua jambo linakua. "Kun fayakun" wengine watakimbilia kusema uchawi umetendeka hapo,,,wabongo hamchelewi 😁😁

Mwenyezi Mungu ni mweza wa kila kitu.
 
Maajabu ya dunia Kigamboni, Mjimwema mti wa mkoko umehama kutoka baharini kuja nchi kavu.

View attachment 1682442
Nyie kizazi cha watoto mliopata elimu finyu mna matatzo sana kufikiri na ku visualise natural forces.
Kwanza: mkoko umekauka hadi mizizi kung'oka.

Pili : density ya mbao iliyokauka ni ndogo kuliko maji kwa hiyo mti na mizizi vitaelea.

Tatu: high tide au bamvua na upepo, gogo linapelekwa ufukweni

Nne: low tide inapoanza , maji level kupungua, mizizi ya mti inajikita kwenye mchanga ufukweni.

Hilo gogo/mti utaondoka na high tide nyingine.

Karibu.
 
Kwanza kabisa, ajabu ni nini?

Swali hili ni muhimu ili tujue na tukubaliane tunajadili kitu gani.
 
Back
Top Bottom