Maajabu: Manispaa Kigoma yakaimisha 'DMO' darasa la saba

Unaonekana unachuki binafsi zaidi bahati ya mwenzio mlango wango wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia kwenye uhakiki wa watumishi wa Umma kama utamuona mwenye jina hilo hapo manispaa ya Kigoma...na mwenzake pia Muuguz mkuu a.k.a mama la mama..ukiwaona nakutumia sasa hivi 100000 kwenye mpesa yako
Iyo laki 1 yako ungeitumia kuongeza mtaji maana umetumbuliwa na umeeibia sana serikali ya Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bahati ya mwenzako usiilalie mlango nje,Acha fitina,PAMBANA NA HALI YAKO
Mwenye bandiko ni mtu wa ajabu sana. Na wakati mwingine anatakiwa kufikiri sio binaadamu wote wana fikra kama zake. Hebu fikiri, wakati wananunua vyeti na kufaidika na wizi alipiga kimya, sasa kimenuka anaanza kufitini. wenzake. Ni jambo la ajabu sana kumsikia mganga wa karne hii bado anaabudu ushirikina.
 
Nashangaa ndugu zangu wa Kgm MAJUNGU!! Dr Abigael namfahamu nilisoma nae chuo, najua kuwa aliajiriwa mwaka 1984 na Halmashauri moja hapo Kgm baada ya kumaliza chuo cha waganga Maweni. Baadae alienda Musoma chuo cha Waganga na Bugando!!!!!! Lakini mkumbuke UDMO Sio kutibu tu na uongozi unakuwa ndani ya mtu, nidhamu, ukweli, uchapakazi,uwajibikaji nk. nk. Ndio maana wasomi hawakai Kgm majunguuuu!
 
Acha umbeya wako kama mwenzako kapona we umekamatwa tumia plan B ! Na sio kuchongeana ! Sasa wote mkose kazi nani atamsaidia mwenzake ? Wewe kwa akili yako ya kibashite unafikiri hata sisi wengine wenye upeo mpana tunafurahia kufukuzwa kazi au kupata matatizo wengine ? Buni mbinu mbadala wewe akifukuzwa kazi utafaidika na ninii ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hawa watu wanaoleta habar online banah wengi ni majungu tuu
Mtu mwenyewe haijui afya anakuja kutushawishi tumuamini
 
We Acha majungu fanya kazi. Kigomaujiji ndio maana hamuendelea majungu majungu kila mtu mbabe kila mtu pale pale hata mletewe malaika bado mwoga weeeee mpaka aonekane anakasolo mbaki wenyewe pale ni shida usipo kuwa na wewe mchawi pale ukai dmo alikuwwa pale alikuwa mtu powa sana ni shida palee
 
mkuu binafsi andika lako nimelielewa sana na huo ndo ukweli ni aibu sana
 
Povu, wivu, Chuki na fitina vitamekukwama!
 

Upo sahihi sana. Kigoma inaongoza kwa Makungu Tz. Watumishi wanafanya kazi kwa shida sana. Halafu wana udini na ukabila sana.
 
Acha uongo.jibu hoja..HANA CHETI CHA FORM FOUR CHA HALALI,HATA ANGEKUWA SPECIALIST..HII NDIO HOJA YA MSINGI.HABARI YA TUMEENDA NAYE CHUO CHA WAGANGA SIJUI MAWENI ACHANA NAZO..UJUE TU HANA CHETI CHA FORM FOUR.MEANS NI STANDARD SEVEN..WEWE UMEMUONA KATIKA ORODHA YA WATUMISHI WALIOHAKIKIWA YANI WENYE VYETI KATIKA MANISPAA YA KIGOMA? AU NIKULETEE ORODHA HAPA! USILETE POVU HAPA..JIBU HOJA..MANISPAA INA DMO WA DARASA LA SABA!
 
Jamani naruhusu povu...nadhani wenye akili zao wameelewa.Huyu mganga(sio daktari kama huyu Havintishi anavyomwita) ni darasa la saba..HANA CHETI HALALI CHA FORM FOUR.KAMA NINYI NI WA KWELI..LETENI INDEX NUMBER TU YA Huyu darasa la saba..mkishindwa kaeni kimya..tutawaeleza mpaka 'blunders' aliowahi kufanya kwenye tiba na kusababisha vifo vya wagonjwa wakinamama wawili alipong'ang'ania kufanya upasuaji na madaktari wenzake wawili(wakaiminya issue isisambae) lakini tuliokuwa wodini tunajua ABC.Sasa nakuombeni mtulie dawa iingie.maana kama darasa la saba anaachwa aendelee kubaki kwenye cheo cha manager wa afya wa WILAYA..basi msitegemee afya za wananchi kuwa salama.kama kuna yeyote anyemtetea hapa aje na ushahidi wa jina lake tu katika orodha ya watumishi waliohakikiwa.atuonyeshe hapa halafu mtaona mabomu ya wiki IJAYO..TUMECHOKA NA UJINGA WA HIVI..TUNATAKA DARASA LA SABA ABAKI LA SABA NA MWENYE CHETI HALISI AENDEEE NA KAZI..MSITUFANYE WAJINGA..HAKUNA FITNA HAPA HUU NI UKWELI MTUPU!
 
Hapo kwenu wachawi mno hapo kwenu hata mletewe malaika mtamtoa kasoro tu ndio maana hamuendei majungu baada ya kafwata umuulize a meloga wapi unakukuja huku.huruma yake dmo atakayekuja hapo ujiji ni shida majungu fit in a uchawi ndio usiseme
 

ACHA MAJUNGU YAKO, KAMA WEWE ULIONDOLEWA KATIKA UTUMISHI WA SERIKALI USIFIKIRIE PIA MWENZAKO ATAONDOKA KWA MAJUNGU KAMA HAYO, HAUNA HAYA KABISA, MTU MZIM A OVYO, ANGALIA MAISHA YAKO USIANGALIE YA MWENZAKO.
 
ACHA MAJUNGU YAKO, KAMA WEWE ULIONDOLEWA KATIKA UTUMISHI WA SERIKALI USIFIKIRIE PIA MWENZAKO ATAONDOKA KWA MAJUNGU KAMA HAYO, HAUNA HAYA KABISA, MTU MZIM A OVYO, ANGALIA MAISHA YAKO USIANGALIE YA MWENZAKO.
We ndio una MAJUNGU Kama lilivyo jina lako Matonya...nimekwambia leta index number ya cheti cha huyu DAKTARI FEKI hujaleta..sasa endelea kumtetea halafu subiri tukupe nondo za wizi na ubadhirifu aliofanya manispaa kwa kushirikiana na baadhi ya watendaji wasio waminifu..utaelewa tu MATONYA WEWE!
 
Kiongozi elewa MANTIKI YA THREAD..VYETI FEKI NI KOSA HATA USIHANGAIKE KUHUSISHA NA MAJUNGU FITNA NA MASUFURIA..KAMA NI HAKI KWELI BASI WOTE WENYE VYETI FEKI WANATAKIWA KUONDOKA AWE ABIGAEL AWE WEWE AU YEYOTE MISONDOE MMOJA MKAACHA MWINGINE..NDIO KAZI YA SISI RAIA WEMA KUKUMBUSHA KUHUSU HILI..NA TUTAENDELEA.NAJUA KUNA WANAOLIPWA ILI KUHAKIKISHA MNACHAFUA HALI YA UKWELI..ILA NAWAHAKIKISHIA TU KWAMBA HAKUNA MAREFU YASIYO NA NCHA..VYETI FEKI VYA DAKTARI FEKI NA MUUGUZI MKUU MANISPAA LAZIMA VIELEWEKE NA HILI NAWAHAKIKISHIA LITAENDA NA WATENDAJI KADHAA MANISPAA WALIOKUWA WANAFICHA LISJULIKANE...SISI TUTASEMA..KAMA WEWE NI MKWELI NA UNAWATETEA KESHO MAPEMA POST HAPA INDEX NUMBER ZA WATUMISHI HAO WAWILI TU..KABLA HATUJAENDELEA NA WENGINE WALIO HAPO MANISPAA
 
Kuwa mzalendo kwa kuverify ID yako kabla ya kuendelea na ubishi usio na mwishohttps://www.jamiiforums.com/members/filimbi-haki.444797/
Filimbi Haki
Status: Member


Joined:Jul 22, 2017

Messages: 8

Likes Received: 2

Trophy Points: 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…