Maajabu makubwa ya prof.Muhongo

Maajabu makubwa ya prof.Muhongo

NAAMINI

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
672
Reaction score
235
Mwaka 2015 uwe wenye mafanikio makubwa sana. Taifa letu linaingia kwenye Uchumi wa Gesi Asilia. Dira yetu ya Maendeleo inatulazimisha kufanya kazi kwa bidii zaidi na kwa ubunifu mkubwa kwa kutumia sayansi na teknolojia ili ifikapo Mwaka 2025 Tanzania iwe nchi ya kipato cha kati (uchumi imara). Umeme mwingi, wa uhakika, wa bei nafuu na unaopatikana kiurahisi vijijini na mijini ndiyo injini kubwa ya upatikanaji wa ajira mpya kwa vijana wetu. S Muhongo
 
Prof kanena maneno ya busara sana. Hapo hakuna porojo. Ni ukweli na uhakika
 
Mwaka 2015 uwe wenye mafanikio makubwa sana. Taifa letu linaingia kwenye Uchumi wa Gesi Asilia. Dira yetu ya Maendeleo inatulazimisha kufanya kazi kwa bidii zaidi na kwa ubunifu mkubwa kwa kutumia sayansi na teknolojia ili ifikapo Mwaka 2025 Tanzania iwe nchi ya kipato cha kati (uchumi imara). Umeme mwingi, wa uhakika, wa bei nafuu na unaopatikana kiurahisi vijijini na mijini ndiyo injini kubwa ya upatikanaji wa ajira mpya kwa vijana wetu. S Muhongo

Hiyo gesi mnaanza kuvuna lini!!?
Nawasiwasi mtapata aibu ya karne,yetu macho
 
kuna swahiba wangu mmoja katoa
angalizo fb,kuwa katika mwaka huu 2015 anawatahadharisha watanzania waache tabia ya kudai vitu visivyo vyao.HELA ZA MAFUTA NA GESI NI ZA WACHINA SIYO BAADAE MNAANZA KUDAI KAMA MLIVYOFANYA ESCROW
 
Ukisikia uongo wa mchana ndio huu, haya maneno huwa yanawaponyoka tu midomoni mwao ila mioyoni mwao wanajua ni uongo. Nani atamuuliza Muhongo muda huo ukifika, kwani atakuwa kwao mara akilima matunda ili auze kwenye viwanda vya juisi
 
Mwaka 2015 uwe wenye mafanikio makubwa sana. Taifa letu linaingia kwenye Uchumi wa Gesi Asilia. Dira yetu ya Maendeleo inatulazimisha kufanya kazi kwa bidii zaidi na kwa ubunifu mkubwa kwa kutumia sayansi na teknolojia ili ifikapo Mwaka 2025 Tanzania iwe nchi ya kipato cha kati (uchumi imara). Umeme mwingi, wa uhakika, wa bei nafuu na unaopatikana kiurahisi vijijini na mijini ndiyo injini kubwa ya upatikanaji wa ajira mpya kwa vijana wetu. S Muhongo
Rudisha kwanza ulizo chukua hatutaki ufisadi wala hatutaki kuwapaka wananchi mafuta kupitia mgogo wa chupa
 
Hiyo gesi mnaanza kuvuna lini!!?
Nawasiwasi mtapata aibu ya karne,yetu macho

tulia kijana...usiwe na mahaba ya kisiasa na tumia ubongo kufikiri sio unatumia 0713 kufikiri...
utayaona soon
 
maneno ya CCM tulisha yazoea hakuna unafuu wa nishati hata gesi ikipatikana!!! ukiona CCM wanaongea maneno hasa hawa mawaziri ujue ukweli ni 1% kati ya100. tatizo CCM hamtunzi kumbukumbu!! tumedanganywa sana!! hakuna unafuu wowote chini ya hawa MAFISADI.
 
Ukisikia uongo wa mchana ndio huu, haya maneno huwa yanawaponyoka tu midomoni mwao ila mioyoni mwao wanajua ni uongo. Nani atamuuliza Muhongo muda huo ukifika, kwani atakuwa kwao mara akilima matunda ili auze kwenye viwanda vya juisi

tulia uone maendeleo makubwa kijana usiwe na mihemko....
 
Rudisha kwanza ulizo chukua hatutaki ufisadi wala hatutaki kuwapaka wananchi mafuta kupitia mgogo wa chupa

thibitisha alizochukua ww chagadema,na waambie wenzako waeleze wale waliochukua ktk magunia
 
Reginald Mengi aka mchaga mzinifu akiona haya anatamani kujinyonga
Mengi atapasuka tu mwaka huu lakini ukweli lazima usemwe na kusimamiwa vema tunataka taifa la wachapa kazi na wasema kweli siyo wanafiki kama mengi.
 
maneno ya CCM tulisha yazoea hakuna unafuu wa nishati hata gesi ikipatikana!!! ukiona CCM wanaongea maneno hasa hawa mawaziri ujue ukweli ni 1% kati ya100. tatizo CCM hamtunzi kumbukumbu!! tumedanganywa sana!! hakuna unafuu wowote chini ya hawa MAFISADI.
We mvulana nyamaza wanaume wafanye kazi za maendeleo utaletewa unga wa kura tu home make umezoea vya kuletewa.
 
Back
Top Bottom