fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
CCM wakiahidi jua umeibiwa tayari
Prof kanena maneno ya busara sana. Hapo hakuna porojo. Ni ukweli na uhakika
Huwezi kusema yametekelezwa au la wakati malengo yenyewe huyajua ila tunaoyajua tunajua tumethubutu tumeweza na sasa tunasonga mbele.Tujipime kwanza kwanza kwa utekelezaji wa MKUKUTA, MKURABITA, Maisha bora kwa kila mtanzania. Je malengo tuliojiwekea yametekelezeka? Kama sivyo, basi na hiyo 2025 utekelezaji utakuwa kama huu
Reginald Mengi aka mchaga mzinifu akiona haya anatamani kujinyonga
Unamzungumzia huyu mwizi wa Escrow aliepigwa mayai viza na wananchi?Mwaka 2015 uwe wenye mafanikio makubwa sana. Taifa letu linaingia kwenye Uchumi wa Gesi Asilia. Dira yetu ya Maendeleo inatulazimisha kufanya kazi kwa bidii zaidi na kwa ubunifu mkubwa kwa kutumia sayansi na teknolojia ili ifikapo Mwaka 2025 Tanzania iwe nchi ya kipato cha kati (uchumi imara). Umeme mwingi, wa uhakika, wa bei nafuu na unaopatikana kiurahisi vijijini na mijini ndiyo injini kubwa ya upatikanaji wa ajira mpya kwa vijana wetu. S Muhongo
Chapa kazi professor wa ukweli nakujua mambo yako toka pale udsm wakati unanifundisha Structural and Geology of Tanzania jamani tunahitaji wataalamu kama hawa serikalini na sio wapiga porojo majukwaani na ntaiombea sana CCM Mwaka huu baada ya rais mpya kuapishwa atulie sana wakati wa kuteua baraza la mawaziri huo ndo msingi wa maendeleo ila wataalamu wa kike bado ni tatizo tumejionea kwa huyu mama T. ni professor eti lakini anaambiwa eti hii hela lazima iingie kwenye acc yako japo ni pesa ya shule anakubali
Reginald Mengi aka mchaga mzinifu akiona haya anatamani kujinyonga
Mbona post zako nyingi zinahusiana na uzinzi? Lazima utakuwa mzinzi au mwasherati.
Reginald Mengi aka mchaga mzinifu akiona haya anatamani kujinyonga
Mwaka 2015 uwe wenye mafanikio makubwa sana. Taifa letu linaingia kwenye Uchumi wa Gesi Asilia. Dira yetu ya Maendeleo inatulazimisha kufanya kazi kwa bidii zaidi na kwa ubunifu mkubwa kwa kutumia sayansi na teknolojia ili ifikapo Mwaka 2025 Tanzania iwe nchi ya kipato cha kati (uchumi imara). Umeme mwingi, wa uhakika, wa bei nafuu na unaopatikana kiurahisi vijijini na mijini ndiyo injini kubwa ya upatikanaji wa ajira mpya kwa vijana wetu. S Muhongo
"Wanawake na maendeleo, Yelele iyekele, iyelele"Reginald Mengi aka mchaga mzinifu akiona haya anatamani kujinyonga
Lubebenamawe punguza jaziba utakuja kufa na ugonjwa wa moyo shauri yako fikiria familia yako