Maajabu kwa mlevi

Maajabu kwa mlevi

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2011
Posts
563
Reaction score
98
Baada ya kurudi chooni, mlevi akaanza kumhadithia mke wake.
Mlevi: Mke wangu, chooni nimeona maajabu. Nimefungua mlango, taa ikawaka. Nikajaribu kuufunga, taa imezima. Nilipofungua tena imewaka, mi nikaogopa kuingia chooni, nikakojoa nikiwa nimesimama pale pale mlangoni.
Mke (huku akiwa kachukiwa akaanza kusema): Sh**z, mlevi mkubwa wee, ushaenda kukojoa ktk FRIJI...
 
Safi sana. Nafikiri alikunywa GONGO huyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom