Maajabu Kuku aliyegeuka jogoo

Maajabu Kuku aliyegeuka jogoo

mopaozi

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
3,300
Reaction score
523
Ukistaajabu ya Musa,,, wakazi wa kijiji cha Malindi nchini Kenya wamegubikwa na hofu na woga baada ya tukio la kuku jike ambaye alikuwa amezaa mara mbili na kulea vifaranga vyake ghafla akaanza kuwika kama jogoo na kuanza kuwasarandia kuku wengine majike akiwapanda kama jogoo afanyavyo!!!mmiliki wa kuku huyo anaogopa hata kumchinja na amemtengea sehemu yake na kumuwekea makuku jike ambao wameanza kutaga!!!wataalam wa mifugo mnasemaje juu ya mabadiliko hayo au ndo mambo ya ushoga nayo yapo kwa wanyama pia!! Source amka na BBC leo alfajiri
 
Kuku kuku tu Jogoo jina!!!hormonz zimempelekea naye kuwezesha majike kutaga???
 
Kuku jike hawezeshwi na jogoo kutaga, jike anataga tu ilimradi amekomaa na anapata lishe bora.
Kuku kuku tu Jogoo jina!!!hormonz zimempelekea naye kuwezesha majike kutaga???
 
Angekuwa wa kwangu saa hizi nimeshamla zamani kabla hajaleta balaa lake. Kwa uoga aliouonesha mwenye nae, ni dalili kuwa huu usagaji kuku huyo kajifunzia hapo hapo kwa familia
 
hii dunia sasa inakoelekea ni Mungu tu anayejua, mambo mengi sana yanatokea nobody can explain, juzi tumeona mbuzi wanapanda juu ya miti kama paka, jana kuna mtoto mwenye haja kubwa 4 kazaliwa....leo hiii....na bado mlolongo unaendelea
 
hee! makubwa jongo! tetea kawa msagaji lol! kweli ukistaajabu ya musa utaona ya firahuni ndio hii sasa
 
huu ushoga hadi kwenye kuku kweli dunia imekwisha..... huyo mliki wa kuku si ampeleke huyo kuku kule kwa yule jamaa aliesema tuwakubali mashoga ndi atupe misaada
 
angalizo kwenye red.Aweke jogoo kwenye hiyo sehemu maalum aone kama huyo aliegeuka kuwa jogoo nae atazaa tena(tagaa)

Ukistaajabu ya Musa,,, wakazi wa kijiji cha Malindi nchini Kenya wamegubikwa na hofu na woga baada ya tukio la kuku jike ambaye alikuwa amezaa mara mbili na kulea vifaranga vyake ghafla akaanza kuwika kama jogoo na kuanza kuwasarandia kuku wengine majike akiwapanda kama jogoo afanyavyo!!!mmiliki wa kuku huyo anaogopa hata kumchinja na amemtengea sehemu yake na kumuwekea makuku jike ambao wameanza kutaga!!!wataalam wa mifugo mnasemaje juu ya mabadiliko hayo au ndo mambo ya ushoga nayo yapo kwa wanyama pia!! Source amka na BBC leo alfajiri
 
....wakazi wa kijiji cha malindi nchini kenya wamegubikwa na hofu na woga baada ya tukio la kuku jike ambaye alikuwa amezaa mara mbili na kulea vifaranga vyake ghafla akaanza.....

nauliza huyo kuku ni mamalia hadi akazaa?
 
hii dunia sasa inakoelekea ni Mungu tu anayejua, mambo mengi sana yanatokea nobody can explain, juzi tumeona mbuzi wanapanda juu ya miti kama paka, jana kuna mtoto mwenye haja kubwa 4 kazaliwa....leo hiii....na bado mlolongo unaendelea
Dah! Kweli kuna maajabu. Nalog off
 
Back
Top Bottom