Maajabu haya ya nywele

Mkuu unafahamu kuwa nywele ni ingredient kuu katika tiba ya kuunga mifupa bila ya kufunga POP??
 
Mshana Jr popote ulipo agiza bapa moja , kitimoto safi shusha vitu taratibu bill yote juu yangu

Hizi nywele zinatia umasikini katika ndoa, kwani gharama zake ni kubwa sana
 
Mshana Jr popote ulipo agiza bapa moja , kitimoto safi shusha vitu taratibu bill yote juu yangu

Hizi nywele zinatia umasikini katika ndoa, kwani gharama zake ni kubwa sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] kule mirinda huku bapa [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Mkuu ni siri ya koo fulani zisizopenda utaalamu huo ujulikane kwa wengine. Siri hiyo hurithishwa watoto wa kwanza wa kiume katika uzao wa warithi. Na mimi kama mtoto wa kwanza wa kiume nilibahatika kuijua siri hiyo ya nywele..
Mmh hii ndio naisikia leo
 
Mkuu ni siri ya koo fulani zisizopenda utaalamu huo ujulikane kwa wengine. Siri hiyo hurithishwa watoto wa kwanza wa kiume katika uzao wa warithi. Na mimi kama mtoto wa kwanza wa kiume nilibahatika kuijua siri hiyo ya nywele..
Niruhusu nikutafute
 
Hahahaaa kaka nimeshakuambia ni siri inayorithishwa mzaliwa wa kwanza wa kiume katika koo husika. Hata nikikuruhusu unitafute ntakua nakiuka masharti ya utabibu mkuu.
Duu ok sawa.,. [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…