KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,756
- 2,998
Ajira mnaitafsiri vipi?
Halmashauri nilipo imetoa mikopo ya pikipiki 20 kwa wanavikundi 20 ndani ya miezi hii minne.
Kifupi tayari serikali imetoa ajira kwa hao wanavikundi 20 kwa halmashauri moja.
Vikundi vingine pia vimepewa pesa kulingana shughuli zao kama mafundi seremala, mafundi kushona,wafyatua tofari n.k.
Hizi zote ni ajira. Lakini tatizo letu tuamini ajira ni nafasi za kuwa katika ofisi fulani tu.
Sent using Jamii Forums mobile app