Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,416
1. Kuanzisha Operesheni kibao ilhali hakuna hata moja iliyofanikiwa.
2. Kuongozwa na Mwenyekiti ambaye ana elimu ya Darasa la Saba.
3. Kumteua mtu kugombea Urais ambaye hana ABC za chama chake.
4. Kuongozwa na Katibu Mkuu ambaye hana dira wala mwelekeo. Hana hata power na hajui atendalo
5. Kukusanya oil chafu na kuweka kwenye gari lao wakategemea matokeo mazuri
6. Kuachana na ajenda iliyowapa umaarufu kwa muda mrefu kwa lengo la kumsitiri mtu mmoja
7. Kuishi kwenye nyumba ya Kupanga kama Makao Makuu huku wakipata ruzuku kibao.
8. Kushirikiana na mke wa jirani ili kumkandamiza mumewe
9. Kushinikiza kudai Katiba Mpya ilhali ya kwao ina viraka kibao
10. Kutegemea chama kitapata umaarufu kupitia kwa watu waliochoka na walioishiwa pumzi