MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,180
Nchi imeshafilisika hii... wengine wanaleta ngonjera za ajabu ajabu.
uongozi ni kipaji c kama hilo li P.H.D u.chwara non-directionMbowe atakuwa na hirizi siyo bure
Mkuu, maendeleo hayaji tu kama mvua. Yanahitaji mipango thabiti na makini. Ndio maana mpaka sasa CHADEMA hamna maendeleo yoyote licha ya kupata fedha nyingi za ruzuku. Maendeleo hayaji kwa kuwa na fedha nyingi bali ni mipango thabiti na mikakati ya kuitekelezaUchumi unayumba nyie mnakalia chadema. Uchaguzi umeshaisha, wawekezaji hao wanatimka
CCM walituhaid watajenga viwanda na hii ndiyo fursa ya serikali yetu kujenga viwanda.
Teh teh
KUPATA MAENDELEO CHINI YA UTAWALA WA CCM NI KAZI NZITO SANA NI SAWA NA NGAMIA KUPENYA KWENYE TUNDU LA SINDANO.
Mkuu Lizaboni uchaguzi umeshaisha, na mukulu kasema siasa mpaka 2020 lkn ww kila siku siasa tu. Ni muda wa kujadili tutaikomboaje Tz yetu.
Kuwajadili chadema haiwezi kuongeza kitu chochote kwenye uchumi wetu na pia ni woga wa kiwango cha phd.
Jiamini usiwe kama mfanyabiashara wa madawa ya kulevya.
Wa najua basi si wanaropoka tuNikiangalia hayo maajabu hakuna hata moja la kweli.Na pili hakuna mahali CCM ilipojenga ofisi miaka 50 sasa.Hayo majengo mnayoyatumia ni majengo ya serikali.
Wa najua basi si wanaropoka tu
mkuu, umemeliza kila kitu hata sina cha kujazia Nyama Tena, BG UP.Uchumi unayumba nyie mnakalia chadema. Uchaguzi umeshaisha, wawekezaji hao wanatimka
CCM walituhaid watajenga viwanda na hii ndiyo fursa ya serikali yetu kujenga viwanda.
Teh teh
KUPATA MAENDELEO CHINI YA UTAWALA WA CCM NI KAZI NZITO SANA NI SAWA NA NGAMIA KUPENYA KWENYE TUNDU LA SINDANO.
Mkuu Lizaboni uchaguzi umeshaisha, na mukulu kasema siasa mpaka 2020 lkn ww kila siku siasa tu. Ni muda wa kujadili tutaikomboaje Tz yetu.
Kuwajadili chadema haiwezi kuongeza kitu chochote kwenye uchumi wetu na pia ni woga wa kiwango cha phd.
Jiamini usiwe kama mfanyabiashara wa madawa ya kulevya.
Hahahaaaaa.....Serikali chini ya Ccm...we vepeeeeNikiangalia hayo maajabu hakuna hata moja la kweli.Na pili hakuna mahali CCM ilipojenga ofisi miaka 50 sasa.Hayo majengo mnayoyatumia ni majengo ya serikali.
Wewe hujakoma?Mkuu, Rais Magufuli anawakomesha sana
Ivi ni kweli yule jamaa ni std 7 !!!!Watafanyeje sasa! Hayo ndo maajabu yenyewe. Maprofesa na Madaktari wamenywea kwa Standard Seven
Ww unaonekana una uchu wa madaraka ndani ya Chadema cy bureTuzungumze juu ya uchumi wetu kwa sasa tuweke siasa pembeni, Nchi inazama ktk dimbwi la umasikini kwa kasi ya kutisha.
Kwani inapozungumzwa juu ya "ma puropesa", si ndio hao wa aina hiyo!Hi ni kweli kwamba akina Prof. Baregu, prof. Safari na wengine wako na furaha Mwenyekiti kuwa Mbowe?
Umesema majengo yote ni ya chama na serikali!??? Sasa chama gani kama cy CCM?? Ukawa hadi mje mlie meeee....ndo labda mtaongoza nchiNIngekuwa naumwa ningekuwa hospitali.Niambie lini CCM ilijenga jengo??
For your information majengo hayo yote yalijengwa kwa michango ya watanzania,enzi za chama kushika hatamu.Na kila jengo ilikuwa kwa ajili ya chama na serikali.Hivyo majengo yote ya CCM ni majengo ya serikali hakuna jengo lililojengwa na CCM.
Pole mtoto kinda utajuaje issue za enzi ya mwalimu.?
Hahahaaaaa.....Serikali chini ya Ccm...we vepeeee
Umesema majengo yote ni ya chama na serikali!??? Sasa chama gani kama cy CCM?? Ukawa hadi mje mlie meeee....ndo labda mtaongoza nchi