Maafali udom wizi mtupu....!

Maafali udom wizi mtupu....!

Fundifundisho

Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
77
Reaction score
18
.wapiga picha wazuiliwa eneo la tukio
.baadhi ya wahitimu wa kike wakike wavalia vivazi vya ajabu.
wageni wakosa mahali pa kukaa wengi wasimama juani..
.madereva wapandisha bei za usafiri kutoka chuoni kwenda mjini..
hizo ni baadhi ya kero zilizotawala eneo hilo..
 
Poleni ila nadhan wanapunguza usumbufu kwa wahitimu ndo maana wamewakataza wapiga picha kuwa karibu maeneo ya tukio.
 
hebu jipange vzr mkuu tukuelewe. Nyoosha maelezo yako tafadhali.
 
.wapiga picha wazuiliwa eneo la tukio
.baadhi ya wahitimu wa kike wakike wavalia vivazi vya ajabu.
wageni wakosa mahali pa kukaa wengi wasimama juani..
.madereva wapandisha bei za usafiri kutoka chuoni kwenda mjini..
hizo ni baadhi ya kero zilizotawala eneo hilo..
naku PM nikupe mpya uipost mana nikipost mie ntakua shakan maana bado nasoma pale,nimehusishwa na hyo kashfa af nikawapga chenga cjatokea hata jana,ni ujinga wa hali ya juu
 
.wapiga picha wazuiliwa eneo la tukio
.baadhi ya wahitimu wa kike wakike wavalia vivazi vya ajabu.
wageni wakosa mahali pa kukaa wengi wasimama juani..
.madereva wapandisha bei za usafiri kutoka chuoni kwenda mjini..
hizo ni baadhi ya kero z
ilizotawala eneo hilo..
hujaeleweka
 
Head line na habari yenyewe haviendani kabisa mbona hivi? Hebu jipange uje upya huko khaa
 
hebu tupia picha za wadada tuone. Kupanda nauli ni issue ya demand na supply - ni sawa na bei ya mwamvuli wakati wa mvua na jua kali
 
.wapiga picha wazuiliwa eneo la tukio
.baadhi ya wahitimu wa kike wakike wavalia vivazi vya ajabu.
wageni wakosa mahali pa kukaa wengi wasimama juani..
.madereva wapandisha bei za usafiri kutoka chuoni kwenda mjini..
hizo ni baadhi ya kero zilizotawala eneo hilo..

Waliwekewa sheria ya kutovaa nguo fupi wakati wana soma sasa walikuwa wanalipiza
 
.wapiga picha wazuiliwa eneo la tukio
.baadhi ya wahitimu wa kike wakike wavalia vivazi vya ajabu.
wageni wakosa mahali pa kukaa wengi wasimama juani..
.madereva wapandisha bei za usafiri kutoka chuoni kwenda mjini..
hizo ni baadhi ya kero zilizotawala eneo hilo..

so what? pimbi wewe
 
Is it your first time to attend a graduation ceremony? Vyuo vyote vikubwa hali ndiyo hiyo!
 
Back
Top Bottom