Maafa ya kivuko kilombero

mtzmweusi

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
8,640
8,966
Nimesikitishwa sana na tukio hili mana ktk tukio hili nimempoteza rafiki angu kipenzi niliyesoma nae shule kinachonisikitisha zaidi ni uongo wa serikali,waziri mwenye dhamana alidanganya kwa kusema hakuna madhara wala vifo vilivyotokea wakati ukweli ni kinyume chake hivi ni lini serikali warakuwa wakweli kwa kusema mambo jinsi yalivyo?Rip mtabe
 
serikali.yaani.siri kali huwa hawasemi wanaogopa kuwajibishwa kilombero kuna.watu wengi walifariki aisee mpaka shemeji yake na jamaa yangu naye alifariki mfanyakazi wa CRDB BANK
 
Hata mi huwa sielewi.... ajali ikitokea ( barabarani) mara nyingi figure inayo tajwa sio ya kweli..... huwa sielewi mantiki yake ni nini.....
 
Nimesikitishwa sana na tukio hili mana ktk tukio hili nimempoteza rafiki angu kipenzi niliyesoma nae shule kinachonisikitisha zaidi ni uongo wa serikali,waziri mwenye dhamana alidanganya kwa kusema hakuna madhara wala vifo vilivyotokea wakati ukweli ni kinyume chake hivi ni lini serikali warakuwa wakweli kwa kusema mambo jinsi yalivyo?Rip mtabe
Sorry, u mean mtabe huyu naemjua alisoma UDSM??? Kisha akawa CRDB?
 
Back
Top Bottom