WanaJF,
Habari nilizozipata punde ni kuwa huko Uganda kuna maandamano makubwa ya Wabaganda kupinga Mfalme wao Mutebi kuzuiwa na serikali kutembelea maeneo ya waasi. Inasemekana maandamano hayo yamezaa vurugu kati ya waandamanaji na polisi, kupelekea watu 614 kuwekwa chini ya ulinzi wa polisi na watu 15 kuuawa. Tukiwa kwenye mwezi mtukufu tuwakumbuke hawa ndugu kwenye sala zetu.