Maadui zangu wakuu watatu walionikwamisha leo nimewabaini

Hahahah,majamaa mna roho mbaya ngoja nikuelekeze kuna sehemu inaitwa Malikusema maeneo ya mlango1 Mwanza jiko la 3 toka kulia mie napajua kwa shemeji yangu karibu tumuunge mkono
Hahahahaha jamaa anataka Tena kula msosi wa shemeji amle na yeye tuoneane huruma sisi wanaume wote wapambanaji
 
Naona huu uzi ni kwa wale wenye uwezo wa kuingiza kipato namaanisha wenye kazi. Sisi majobless sijui tufanye nini kuacha maana unaokoteza ka jero unaona ngoja nijaribu bahati yangu
Hapana sio wote wafanyakazi Ila kamali haichagui wew ni nan unaliwa Kama kawaida na ukiwa unacheza unakua na matumaini fulani utakula na kila Mara unakosa na siku zinasonga tu mkuu pia unaidumaza Sana akili katika kutafuta michongo mingine trust me
 
Hahahah,majamaa mna roho mbaya ngoja nikuelekeze kuna sehemu inaitwa Malikusema maeneo ya mlango1 Mwanza jiko la 3 toka kulia mie napajua kwa shemeji yangu karibu tumuunge mkono
🤣🤣🤣🤣
Haya mkuu mimi napita tu hapa JF na kautani kidogo kuchangamsha uzi.
 
Hongera zako mkuu...kazana usilegeze matumizi hayo
Usipotumia pesa unalemaa. Lakini unapotumia ndiyo unapata nguvu ya kuzisaka zaidi. Very simple logic. Sasa huyu anataka eti anunue pikipiki. Hii ni akili kweli? Of all investments, pikipiki?
 
Usipotumia pesa unalemaa. Lakini unapotumia ndiyo unapata nguvu ya kuzisaka zaidi. Very simple logic. Sasa huyu anataka eti anunue pikipiki. Hii ni akili kweli? Of all investments, pikipiki?
Kwahiyo tunaomiliki toyo unatuona hatuja invest eti? Au unataka wote tu invest kwenye mabasi ya mikoani?
 
Usipotumia pesa unalemaa. Lakini unapotumia ndiyo unapata nguvu ya kuzisaka zaidi. Very simple logic. Sasa huyu anataka eti anunue pikipiki. Hii ni akili kweli? Of all investments, pikipiki?
Piki piki ni investment usidharau
 
Kuwatambua adui zako ni ushindi.

Hapo umeshashinda mkuu, kaza na songa mbele.

Mkuu alishasema hakuna raha, ni mwendo wa kujenga uchumi na wewe umeshaonyesha njia kwa wengi.

Tambua adui zako wa maendeleo, pambana nao na kisha songa mbele
 
Kuwatambua adui zako ni ushindi.

Hapo umeshashinda mkuu, kaza na songa mbele.

Mkuu alishasema hakuna raha, ni mwendo wa kujenga uchumi na wewe umeshaonyesha njia kwa wengi.

Tambua adui zako wa maendeleo, pambana nao nabkisha songa mbele
Pamoja Sana kamanda
 
Back
Top Bottom