Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,787
Duh...!, Mkuu Cherenganya, you are wrong, hii hoja ya adui mkubwa wa Chadema ni CCM, this is the biggest mistake of Chadema, adui mkubwa wa Chadema sio CCM, adui mkubwa wa Chadema ni huyu niliyemtaja hapaCHADEMA, wana maadui wengi sana na kutokana na kutokuwa na watu upstairs (NYUMBU) wanawapa nafasi kubwa maadui zao kuanzisha mashambulizi ya Mara kwa Mara kabla hawajajipanga wanashambuliwa toka pande nyingine.
1. CCM
Nimeipenda hiiDuh...!, Mkuu Cherenganya, you are wrong, hii hoja ya adui mkubwa wa Chadema ni CCM, this is the biggest mistake of Chadema, adui mkubwa wa Chadema sio CCM, adui mkubwa wa Chadema ni huyu niliyemtaja hapa
PGE2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
Wanabodi, Kuna msemo usemao numbers don't lie, hili ni bandiko la numbers na data, kama sio mzuri wa mathematics na arithmetics nakushauri bandiko hili bora ulipitie mbali and save your time and money kwasababu time is money. Katika thread moja humu jukwaani, nimekutana na mchango wa mwana...www.jamiiforums.com
Mbowe siyo tatizo tatizo ccm hawataki demokrasi ya ushindani, labda ushauri itumike njia nyingine nje ya demokrasiaSalam wanagenzi
Siasa ni mchezo wa HOVYO unao chezwa na watu smart upstairs, SIASA inakupatia mambo matatu, marafiki, WANAFIKI na maadui unaowajua.
CHADEMA, wana maadui wengi sana na kutokana na kutokuwa na watu upstairs (NYUMBU) wanawapa nafasi kubwa maadui zao kuanzisha mashambulizi ya Mara kwa Mara kabla hawajajipanga wanashambuliwa toka pande nyingine.
NITAFAFANUA PARAGRAPH HIYO HAPO JUU.
1. CCM
2. DEMOKRASIA YA NDANI
3. UMBUMBUMBU JUU YA SHERIA
Walakini yote hayo nasikitika kusema yanakuja kutokana na udhaifu mkubwa ndani ya CHADEMA.
Udhaifu mamba moja ni chama kutokua na vision na mission na kujulikana ni cha mrengo gani?. Mabebari au Wajamaa, au mchanganyiko wa ujamaa na ubepari.
Pili, inayotukia kwa sababu ya para hiyo ya juu, chama kujikuta kikicheza ngoma isiyokua yake, hivyo kujikuta ikidumbukia kwenye kushadadia matukio ambayo yametengenezwa na CCM.
Hapa ikumbukwe kwamba CCM kama chama cha siasa hakina budi kujiimarisha, hivyo haina haja ya kuwalalamikia kwakua hata CHADEMA wangekua kwenye nafasi hiyo wangelitenda kama CCM
Tatu na mwisho chama kinawatu wasomi lakini wanaoendeshwa kwa mihemko badala ya hoja na facts. Kuna makosa madogo madogo sana ya kiufundi, wanayafanya ambayo huharibu kabisa taswira ya chama.
MFANO HIVI PUNDE
Hawakujiandaa kuingia kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, hawakuwaandaa pia wagombea, CCM ilitawanya wanasheria 1250 nchi nzima kuwaandaa wagombea wao, wakawatega kwenye kimtego cha kisheria wakanasa.
Pia wameingia kwenye mtego ambao umewadondosha kwa asilimia kubwa. Kitendo cha Freeman Aikael Mbowe kuchukua form ya uenyekiti ndio CCM walichokua wakikisubiri, Jana Waziri Mkuu mstaafu Sumaye Tulway kajiondoa CHADEMA halikua tatizo sana bali alichokisema wakati anaondoka.
Maneno aliyoyasema yamekua yakijirudia rudia, kwa kila anayeondoka ndani ya chama na hata walioamua kubaki ndani ya chama rejea ya Komu na Said Kubenea.
CHADEMA aidha haina watu mahiri wenye kuijua siasa au watu mahiri wapo ila hawapewi nafasi kwa sababu hawako kwenye kambi kuu.
AHSANTE
Uzuri wenu ni kumbukumbu zenu za muda mfupi.Adui mkubwa wa Chadema ni mapandikizi na mamluki wanaotumwa na CCM
CHADEMA kinatakiwa safisha safisha ya brashi la chuma ili uchaguzi mkuu ujao twende tukiwa kamilgado mamiloni ya wananchi wanasubiri kutupa kura
Nimeipenda hii
kulaumu tuu kuhusu CCM, bali sasa wajikite kueleza where CCM does wrong, lakini wao wakiingia, watafanya nini tofauti na CCM, na kitabadilisha nini, ili wale wanaoichagua CCM kwa mazoea tuu, wapate sababu za msingi za kutoichagua CCM na kuwachagua wapinzani.
CCM waliyoyafanya ktk uchaguzi wa serikali za mitaa ni jambo zuri kwani wamejisababishia jumuia za kimataifa kuuangalia uchaguzi mkuu kwa ukaribu zaidi waangalizi wa kimataifa watakuwa wengi sana na wakisema ccm wameiba kura vikwazo vinafuata.Uzuri wenu ni kumbukumbu zenu za muda mfupi.
Ona saa hizi unasubiri kwa hamu kubwa uchaguzi. Ukipita tu unakumbuka tena kilio cha tume huru.
nimeshajua kabila lakoNimejaribu kuunganisha kichwa cha habari na yaliyomo ndani...nimeshindwa kuona ulinganifu...nimeona lawama, kejeli na kujifanya unajua maadui wa CDM kumbe wala huna hata Idea.
Nimefuatilia kwa kina ukabila unaitafuna cdmMkuu waachie CHADEMA yao hayakuhusu zaidi ya wivu,maana utabiri wa kuizika hautimiliki zaidi ya wao kuvuka vikwazo.
Are you sure bongo kuna uchaguzi kama inavyojinasibu??Nimeipenda hii
kulaumu tuu kuhusu CCM, bali sasa wajikite kueleza where CCM does wrong, lakini wao wakiingia, watafanya nini tofauti na CCM, na kitabadilisha nini, ili wale wanaoichagua CCM kwa mazoea tuu, wapate sababu za msingi za kutoichagua CCM na kuwachagua wapinzani.
Na sumae kashashawishiwa arudi ccm.Nimefuatilia kwa kina ukabila unaitafuna cdm
Utanielewa tu.Na sumae kashashawishiwa arudi ccm. View attachment 1282205View attachment 1282206