Maadui wa CHADEMA hawa hapa

Maadui wa CHADEMA hawa hapa

Salam wanagenzi

Siasa ni mchezo wa HOVYO unao chezwa na watu smart upstairs, SIASA inakupatia mambo matatu, marafiki, WANAFIKI na maadui unaowajua.

CHADEMA, wana maadui wengi sana na kutokana na kutokuwa na watu upstairs (NYUMBU) wanawapa nafasi kubwa maadui zao kuanzisha mashambulizi ya Mara kwa Mara kabla hawajajipanga wanashambuliwa toka pande nyingine.

NITAFAFANUA PARAGRAPH HIYO HAPO JUU.

1. CCM
2. DEMOKRASIA YA NDANI
3. UMBUMBUMBU JUU YA SHERIA

Walakini yote hayo nasikitika kusema yanakuja kutokana na udhaifu mkubwa ndani ya CHADEMA.

Udhaifu mamba moja ni chama kutokua na vision na mission na kujulikana ni cha mrengo gani?. Mabebari au Wajamaa, au mchanganyiko wa ujamaa na ubepari.

Pili, inayotukia kwa sababu ya para hiyo ya juu, chama kujikuta kikicheza ngoma isiyokua yake, hivyo kujikuta ikidumbukia kwenye kushadadia matukio ambayo yametengenezwa na CCM.

Hapa ikumbukwe kwamba CCM kama chama cha siasa hakina budi kujiimarisha, hivyo haina haja ya kuwalalamikia kwakua hata CHADEMA wangekua kwenye nafasi hiyo wangelitenda kama CCM

Tatu na mwisho chama kinawatu wasomi lakini wanaoendeshwa kwa mihemko badala ya hoja na facts. Kuna makosa madogo madogo sana ya kiufundi, wanayafanya ambayo huharibu kabisa taswira ya chama.

MFANO HIVI PUNDE
Hawakujiandaa kuingia kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, hawakuwaandaa pia wagombea, CCM ilitawanya wanasheria 1250 nchi nzima kuwaandaa wagombea wao, wakawatega kwenye kimtego cha kisheria wakanasa.

Pia wameingia kwenye mtego ambao umewadondosha kwa asilimia kubwa. Kitendo cha Freeman Aikael Mbowe kuchukua form ya uenyekiti ndio CCM walichokua wakikisubiri, Jana Waziri Mkuu mstaafu Sumaye Tulway kajiondoa CHADEMA halikua tatizo sana bali alichokisema wakati anaondoka.

Maneno aliyoyasema yamekua yakijirudia rudia, kwa kila anayeondoka ndani ya chama na hata walioamua kubaki ndani ya chama rejea ya Komu na Said Kubenea.

CHADEMA aidha haina watu mahiri wenye kuijua siasa au watu mahiri wapo ila hawapewi nafasi kwa sababu hawako kwenye kambi kuu.

AHSANTE
Ukishajiuluza na kujijibu kwanini sio Cheyo,Mrema,Lipumba au Mbatia basi utapata jibu chuki hii ni kwaajili ya kitu gani?Kwanini hawaongelei yule kiongozi mkuu katika chama ambae hachaguliwi kabisa 😂😂😂😂😂utagundua kuwa watu wana interest kubwa sana na chokochoko katika chama hiki na sababu kubwa ni kwamba wanawaogopa kwakweli
 
Salam wanagenzi

Siasa ni mchezo wa HOVYO unao chezwa na watu smart upstairs, SIASA inakupatia mambo matatu, marafiki, WANAFIKI na maadui unaowajua.

CHADEMA, wana maadui wengi sana na kutokana na kutokuwa na watu upstairs (NYUMBU) wanawapa nafasi kubwa maadui zao kuanzisha mashambulizi ya Mara kwa Mara kabla hawajajipanga wanashambuliwa toka pande nyingine.

NITAFAFANUA PARAGRAPH HIYO HAPO JUU.

1. CCM
2. DEMOKRASIA YA NDANI
3. UMBUMBUMBU JUU YA SHERIA

Walakini yote hayo nasikitika kusema yanakuja kutokana na udhaifu mkubwa ndani ya CHADEMA.

Udhaifu mamba moja ni chama kutokua na vision na mission na kujulikana ni cha mrengo gani?. Mabebari au Wajamaa, au mchanganyiko wa ujamaa na ubepari.

Pili, inayotukia kwa sababu ya para hiyo ya juu, chama kujikuta kikicheza ngoma isiyokua yake, hivyo kujikuta ikidumbukia kwenye kushadadia matukio ambayo yametengenezwa na CCM.

Hapa ikumbukwe kwamba CCM kama chama cha siasa hakina budi kujiimarisha, hivyo haina haja ya kuwalalamikia kwakua hata CHADEMA wangekua kwenye nafasi hiyo wangelitenda kama CCM

Tatu na mwisho chama kinawatu wasomi lakini wanaoendeshwa kwa mihemko badala ya hoja na facts. Kuna makosa madogo madogo sana ya kiufundi, wanayafanya ambayo huharibu kabisa taswira ya chama.

MFANO HIVI PUNDE
Hawakujiandaa kuingia kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, hawakuwaandaa pia wagombea, CCM ilitawanya wanasheria 1250 nchi nzima kuwaandaa wagombea wao, wakawatega kwenye kimtego cha kisheria wakanasa.

Pia wameingia kwenye mtego ambao umewadondosha kwa asilimia kubwa. Kitendo cha Freeman Aikael Mbowe kuchukua form ya uenyekiti ndio CCM walichokua wakikisubiri, Jana Waziri Mkuu mstaafu Sumaye Tulway kajiondoa CHADEMA halikua tatizo sana bali alichokisema wakati anaondoka.

Maneno aliyoyasema yamekua yakijirudia rudia, kwa kila anayeondoka ndani ya chama na hata walioamua kubaki ndani ya chama rejea ya Komu na Said Kubenea.

CHADEMA aidha haina watu mahiri wenye kuijua siasa au watu mahiri wapo ila hawapewi nafasi kwa sababu hawako kwenye kambi kuu.

AHSANTE
Acha uongo mkuu Ccm imemtumia Waziri wa Tamisemi na Watendaji kata kuvuruga Uchaguzi,kama suala ni kujaza fomu kwanini watendaji walikuwa wanazikimbia ofisi zao na kukataa kupokea fomu?Mbinu ambayo hata Wakurugenzi wa Halmashauri wamekuwa wakizifanya chaguzi ndogo zilizopita .
 
Unailaumu vipi cdm haikujiandaa kisiasa wakati ww mwenyewe unajua cdm wamezuiwa kufanya siasa mwaka wa nne sasa
 
Kuna wakati nachanganyikiwa kama vile nimechanganya K-vant na Chang'aa!

Hivi inakuwaje maadui wa Chadema kila siku wakisemwa anatajwa Mbowe ndio namba one? Na wanaomtaja kwa uchambuzi na tahariri zilizo na Tashwishwi (in Kabudi voice) sio wengine bali ni "marafiki wakubwa" wa Chadema yaani CCM?

Ni kama vile uchunguzi wa adui wa Chadema na njia kupambana nae umefanywa na Kamati Kuu ya CCM na kuletwa kwa wanachama wake wa upiganie kwa nguvu zote.

Hivi wenye Chama yaani Wanachadema hawaoni huyo adui mkubwa wa Chadema yaani Mbowe hadi waje wafundishwe na "marafiki zao wakubwa" CCM?

Naomba ambaye hajanywa chang'aa anisaidie kuelewa ni kwa nini hawa jamaa zetu Chadema hawataki kupokea ushauri musharabu toka kwa "rafiki zao" CCM?

Mkuu Chakaza siku ukiwa umepumzika ndani kwako nyakati za usiku na ukasikia huko nje vibaka wanapita na horn speaker wakisema jamani tunawatangazia leo hakikisheni mmeingiza kila kitu ndani maana tutapita kuiba wewe relax uje hata kidekio hakijaachwa nje.

CCM imekamatwa vilivyo na Mbowe mayowe unayosikia ujue vibaka wameshidwa kupenya. MwanaCCM yeyote hawezi kuionea hurumaCDM katika maamuzi yake ya Kijinga !!!
 
Unajuwa mie naamini kama Mbowe atashinda uchaguzi (maana kwa Demokrasia iliyopo Chadema yeyote anaweza shinda) na makamu wake akawa Lissu huku Katibu mkuu akapewa mwingine zaidi ya Mashiji basi CCM watakipata walichokuwa wakikitafuta katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu.
Mbowe wanayemuogopa watamtamani kwani wataona kuwa alikuwa na siasa za subira na uungwana sana na sio hao makamanda wengine ambao moto wao hauzimwi hovyo.
 
Kushawishi mtu kurudi kwenye chama chako kwa gharama yeyote ile ni ufisadi na ghiliba.Wananchi wengi uvutiwa na wanasiasa wenye mvuto wa kushawishi ,wanaojenga hoja zinazogusa majawabu ya kutatuwa kero zao.Watanzania hawana haja ya wanasiasa wanaojipendekeza kupata vyeo na madaraka kwa gharama yeyote ile.
 
Salam wanagenzi

Siasa ni mchezo wa HOVYO unao chezwa na watu smart upstairs, SIASA inakupatia mambo matatu, marafiki, WANAFIKI na maadui unaowajua.

CHADEMA, wana maadui wengi sana na kutokana na kutokuwa na watu upstairs (NYUMBU) wanawapa nafasi kubwa maadui zao kuanzisha mashambulizi ya Mara kwa Mara kabla hawajajipanga wanashambuliwa toka pande nyingine.

NITAFAFANUA PARAGRAPH HIYO HAPO JUU.

1. CCM
2. DEMOKRASIA YA NDANI
3. UMBUMBUMBU JUU YA SHERIA

Walakini yote hayo nasikitika kusema yanakuja kutokana na udhaifu mkubwa ndani ya CHADEMA.

Udhaifu mamba moja ni chama kutokua na vision na mission na kujulikana ni cha mrengo gani?. Mabebari au Wajamaa, au mchanganyiko wa ujamaa na ubepari.

Pili, inayotukia kwa sababu ya para hiyo ya juu, chama kujikuta kikicheza ngoma isiyokua yake, hivyo kujikuta ikidumbukia kwenye kushadadia matukio ambayo yametengenezwa na CCM.

Hapa ikumbukwe kwamba CCM kama chama cha siasa hakina budi kujiimarisha, hivyo haina haja ya kuwalalamikia kwakua hata CHADEMA wangekua kwenye nafasi hiyo wangelitenda kama CCM

Tatu na mwisho chama kinawatu wasomi lakini wanaoendeshwa kwa mihemko badala ya hoja na facts. Kuna makosa madogo madogo sana ya kiufundi, wanayafanya ambayo huharibu kabisa taswira ya chama.

MFANO HIVI PUNDE
Hawakujiandaa kuingia kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, hawakuwaandaa pia wagombea, CCM ilitawanya wanasheria 1250 nchi nzima kuwaandaa wagombea wao, wakawatega kwenye kimtego cha kisheria wakanasa.

Pia wameingia kwenye mtego ambao umewadondosha kwa asilimia kubwa. Kitendo cha Freeman Aikael Mbowe kuchukua form ya uenyekiti ndio CCM walichokua wakikisubiri, Jana Waziri Mkuu mstaafu Sumaye Tulway kajiondoa CHADEMA halikua tatizo sana bali alichokisema wakati anaondoka.

Maneno aliyoyasema yamekua yakijirudia rudia, kwa kila anayeondoka ndani ya chama na hata walioamua kubaki ndani ya chama rejea ya Komu na Said Kubenea.

CHADEMA aidha haina watu mahiri wenye kuijua siasa au watu mahiri wapo ila hawapewi nafasi kwa sababu hawako kwenye kambi kuu.

AHSANTE

Kuhusu mrengo wa itikadi umekosea!

Mrengo wa chadema upo wazi kabisa!

Ni mrengo wa Kibepari!

Hii ipo wazi na kwenye katiba na kila kitu ipo wazi kabisa!

Ubepatri ndio mfumo sahihi na ndio tunaoutaka kama nchi tuweze kwenda mbele!

Chadema wanasimamia hili na wanaliamini hili!

Vyama vingine vyote Tanzania hii ni vya Kijamaa sio CCM,sio ACT sio NLD sio uchafu wote ni Ujamaa kabisa!

Kwa hili nilitaka tuweke rekodi sawa!
 
CCM waliyoyafanya ktk uchaguzi wa serikali za mitaa ni jambo zuri kwani wamejisababishia jumuia za kimataifa kuuangalia uchaguzi mkuu kwa ukaribu zaidi waangalizi wa kimataifa watakuwa wengi sana na wakisema ccm wameiba kura vikwazo vinafuata.
Sawa. Unaingia kwenye uchaguzi Africa bila mpango kazi zaidi kutarajia vikwazo!
 
Duh...!, Mkuu Cherenganya, you are wrong, hii hoja ya adui mkubwa wa Chadema ni CCM, this is the biggest mistake of Chadema, adui mkubwa wa Chadema sio CCM, adui mkubwa wa Chadema ni huyu niliyemtaja hapa
P
Nawe Pascal hayo ni maoni yako tu. Usilazimishe hoja kama vijana wa lumumba.
 
Duh...!, Mkuu Cherenganya, you are wrong, hii hoja ya adui mkubwa wa Chadema ni CCM, this is the biggest mistake of Chadema, adui mkubwa wa Chadema sio CCM, adui mkubwa wa Chadema ni huyu niliyemtaja hapa
P
Mkuu MAYALA heshima kwako.

Kwanini nimesema CCM ni miongoni mwa maadui wa CHADEMA? zingatia kwamba lengo kuu la chama cha siasa ni kushika dola, nothing more nothing less. Hivyo CCM hawawezi kuitengenezea CHADEMA mazingira ya ushindani sawa simply because iwapo CHADEMA wataimarika ni Rahisi kuaminiwa na watanzania na kupewa dola ili CCM nao wawe chama cha upinzani.

Figisu, michuano, mbinu safi na chafu hazina lengo jingine bali kulinda ugali ambao ni madaraka.

***********************

Nimefanikiwa kuipitia link yako uliyo ambatanisha hapo juu. Ambacho nimegundua katika siasa kila Mwanasiasa au aijadiliye siasa yupo sahihi kwakua mchezo huu ni zao la PERSPECTIVE naweza sema 6 na nikawa sahihi regarding nimesimama wapi na mwingine naye akasema 9 naye akawa sahihi pia.
 
Adui wa Chadema ni Chadema na dikteta wake king'ang'anizi wa madaraka bwashee Mbowe
Mbowe si Dicteor bali kwa mazingira yaliyopo chamani haamini kama angalipo mwenye uwezo na nia ya kuifikisha CHADEMA sehemu kusudiwa.

Aidha, yawezekana Mbowe anayo madudu mengi sana financially ambayo anajua asipoendelea kubaki au kupata mtu wake atayeweza kuficha utumbo wake, Mara tu akiachia uwenyekiti ataishia jela.

Na mwisho ni FEAR OF UNKNOWN what if akikiacha chama alafu kikafa, what if akaondoka madarakani alafu chama kika prosper, itaonekana yeye ndiye aliyekua mfuniko wa mafanikio.
 
Nimejaribu kuunganisha kichwa cha habari na yaliyomo ndani...nimeshindwa kuona ulinganifu...nimeona lawama, kejeli na kujifanya unajua maadui wa CDM kumbe wala huna hata Idea.
Kitabu kisichoandikwa kwa ajili yako huwezi kielewa. Sorry bro kama ulizaliwa na mtindio wa ubongo sinao uwezo wa kukutibu
 
Salam wanagenzi

Siasa ni mchezo wa HOVYO unao chezwa na watu smart upstairs, SIASA inakupatia mambo matatu, marafiki, WANAFIKI na maadui unaowajua.

CHADEMA, wana maadui wengi sana na kutokana na kutokuwa na watu upstairs (NYUMBU) wanawapa nafasi kubwa maadui zao kuanzisha mashambulizi ya Mara kwa Mara kabla hawajajipanga wanashambuliwa toka pande nyingine.

NITAFAFANUA PARAGRAPH HIYO HAPO JUU.

1. CCM
2. DEMOKRASIA YA NDANI
3. UMBUMBUMBU JUU YA SHERIA

Walakini yote hayo nasikitika kusema yanakuja kutokana na udhaifu mkubwa ndani ya CHADEMA.

Udhaifu mamba moja ni chama kutokua na vision na mission na kujulikana ni cha mrengo gani?. Mabebari au Wajamaa, au mchanganyiko wa ujamaa na ubepari.

Pili, inayotukia kwa sababu ya para hiyo ya juu, chama kujikuta kikicheza ngoma isiyokua yake, hivyo kujikuta ikidumbukia kwenye kushadadia matukio ambayo yametengenezwa na CCM.

Hapa ikumbukwe kwamba CCM kama chama cha siasa hakina budi kujiimarisha, hivyo haina haja ya kuwalalamikia kwakua hata CHADEMA wangekua kwenye nafasi hiyo wangelitenda kama CCM

Tatu na mwisho chama kinawatu wasomi lakini wanaoendeshwa kwa mihemko badala ya hoja na facts. Kuna makosa madogo madogo sana ya kiufundi, wanayafanya ambayo huharibu kabisa taswira ya chama.

MFANO HIVI PUNDE
Hawakujiandaa kuingia kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, hawakuwaandaa pia wagombea, CCM ilitawanya wanasheria 1250 nchi nzima kuwaandaa wagombea wao, wakawatega kwenye kimtego cha kisheria wakanasa.

Pia wameingia kwenye mtego ambao umewadondosha kwa asilimia kubwa. Kitendo cha Freeman Aikael Mbowe kuchukua form ya uenyekiti ndio CCM walichokua wakikisubiri, Jana Waziri Mkuu mstaafu Sumaye Tulway kajiondoa CHADEMA halikua tatizo sana bali alichokisema wakati anaondoka.

Maneno aliyoyasema yamekua yakijirudia rudia, kwa kila anayeondoka ndani ya chama na hata walioamua kubaki ndani ya chama rejea ya Komu na Said Kubenea.

CHADEMA aidha haina watu mahiri wenye kuijua siasa au watu mahiri wapo ila hawapewi nafasi kwa sababu hawako kwenye kambi kuu.

AHSANTE
Umeandika ujïnga mtupu
 
Nimejaribu kuunganisha kichwa cha habari na yaliyomo ndani...nimeshindwa kuona ulinganifu...nimeona lawama, kejeli na kujifanya unajua maadui wa CDM kumbe wala huna hata Idea.
Ilimradi ameandika...
 
Salam wanagenzi

Siasa ni mchezo wa HOVYO unao chezwa na watu smart upstairs, SIASA inakupatia mambo matatu, marafiki, WANAFIKI na maadui unaowajua.

CHADEMA, wana maadui wengi sana na kutokana na kutokuwa na watu upstairs (NYUMBU) wanawapa nafasi kubwa maadui zao kuanzisha mashambulizi ya Mara kwa Mara kabla hawajajipanga wanashambuliwa toka pande nyingine.

NITAFAFANUA PARAGRAPH HIYO HAPO JUU.

1. CCM
2. DEMOKRASIA YA NDANI
3. UMBUMBUMBU JUU YA SHERIA

Walakini yote hayo nasikitika kusema yanakuja kutokana na udhaifu mkubwa ndani ya CHADEMA.

Udhaifu mamba moja ni chama kutokua na vision na mission na kujulikana ni cha mrengo gani?. Mabebari au Wajamaa, au mchanganyiko wa ujamaa na ubepari.

Pili, inayotukia kwa sababu ya para hiyo ya juu, chama kujikuta kikicheza ngoma isiyokua yake, hivyo kujikuta ikidumbukia kwenye kushadadia matukio ambayo yametengenezwa na CCM.

Hapa ikumbukwe kwamba CCM kama chama cha siasa hakina budi kujiimarisha, hivyo haina haja ya kuwalalamikia kwakua hata CHADEMA wangekua kwenye nafasi hiyo wangelitenda kama CCM

Tatu na mwisho chama kinawatu wasomi lakini wanaoendeshwa kwa mihemko badala ya hoja na facts. Kuna makosa madogo madogo sana ya kiufundi, wanayafanya ambayo huharibu kabisa taswira ya chama.

MFANO HIVI PUNDE
Hawakujiandaa kuingia kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, hawakuwaandaa pia wagombea, CCM ilitawanya wanasheria 1250 nchi nzima kuwaandaa wagombea wao, wakawatega kwenye kimtego cha kisheria wakanasa.

Pia wameingia kwenye mtego ambao umewadondosha kwa asilimia kubwa. Kitendo cha Freeman Aikael Mbowe kuchukua form ya uenyekiti ndio CCM walichokua wakikisubiri, Jana Waziri Mkuu mstaafu Sumaye Tulway kajiondoa CHADEMA halikua tatizo sana bali alichokisema wakati anaondoka.

Maneno aliyoyasema yamekua yakijirudia rudia, kwa kila anayeondoka ndani ya chama na hata walioamua kubaki ndani ya chama rejea ya Komu na Said Kubenea.

CHADEMA aidha haina watu mahiri wenye kuijua siasa au watu mahiri wapo ila hawapewi nafasi kwa sababu hawako kwenye kambi kuu.

AHSANTE
Unafiki haujifichi..ebu rudia kusoma ulichoandika....CCM kazi mnayo...
 
Unafiki wanaoipinga CDM utawarudia wenyewe
Kaka ondoa vikra za kwamba kila anayezungumzia CHADEMA kichambuzi anaipinga utakua unadhalilisha uwepo wako katika dunia hii.
 
Back
Top Bottom