Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,892
- 10,123
Wakuu angalieni ITV sasa hivi kama kawaida yao.
Yaani wao wakilipwa wanafanya lolote,Lulu Live kwenye Kipindi cha kuchagua mshindi.
Sasa nashangaa,hii Sanaa badala ya kuzingatia maadili ndio kwanza inapoteza maadili,na mle kuna mtoto wa under 14.
Yaani nilikuwa naangalia na shemeji zangu nimahamia chumbani.
Hii kazi kweli.
wee nawe mpaka leo unaishi na shemeji zako acha upopo wewe...watimue.
Nilikuwa naangalia lakini sauti inasumbua, wameniboa hadi nimeenda kulala zangu au TV yangu mbovu? Lakini mbona chanel zingine iko poa.