Maadhimisho ya Mwaka Mmoja ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda kuwa madarakani

Kuna mambo yanakera, tumebanwa kila kona, na huku JF nako ukisema unapigwa ban au unatishiwa kupigwa ban, hali ngumu sana!
 
kuna mtu aliniambia ukimuona tu mrisho mpoto,banana zorro na huyo tid ktk hafla iliyoandaliwa na kiongozi wa serikali ujuwe ni "business as usual".

yaani hapo lazima liwe ni tukio la kupangwa...hata zile sifa wanazomuimbia mgeni rasmi ktk tungo yao huwa ni mchongo ambao umepangwa kabla kati ya huyo mgeni na hao akina mpoto.

rejea siku ambayo mrisho mpoto alimuita Jpm "sizonje" alipokuwa anatumbuiza live pale ikulu ktk tukio mojawapo ambalo lilirushwa live na vituo vya luninga nchini.
umemsahau huyu shehe wetu wabongo
Heheheeheeeeeee......hii mupya... kuadhimisha mwaka mmoja wa rc

Uchelewi kusikia mipasho na vijembe.
 
Haya maazimisho yangeboreshwa zaidi ikiwekekana yangeambana na SIKU YA MAPUMZIKO
 
Screenshot_2017-03-15-19-46-24.png
 
acha wivu ww
Siyo wivu. tunajaribu kufikiri kidogo. Mkulu hapendi kabisa sherehe, alisema kama mtu anafanya sherehe ya kuapishwa, ajiandae kufanya sherehe ya kufukuzwa. lakini Bashite ni tofauti. Anaweza kusafiri kwenda nje, anaweza kufanya sherehe ya mwaka mmoja wa ukuu wa mkoa, kitu ambacho kinafanyika kwa mara ya kwanza toka nchi hii ipate uhuru wake. sijawahi kusikia mkuu wa mkoa anafanya sherehe ya mwaka mmoja wa ukuu wa mkoa, kwa kiwango hiki cha "kiserikali". Ila labda kama sherehe hii ni maalum kwa ajili ya kujifariji, kwamba alikuwa amekufa na sasa amefufuka. lakini kafufuka kweli? maana tuhuma dhidi yake ni nzito sana na hajawa na ubavu wa kuzikanusha.
 
Back
Top Bottom