watundawangu
JF-Expert Member
- Mar 26, 2011
- 250
- 78
Kitaliwa kwa siku ngapi?au leo ikiisha ndio mwisho wa stori!Mwenyekiti wa chama mkoa ametoa tamko kuwa baada ya sherehe hizo kutakuwa na chakula kinachowatosha watu wote waliopo uwanjani...hii ni ajabu na kweli wakuu.
Mwenyekiti wa chama mkoa ametoa tamko kuwa baada ya sherehe hizo kutakuwa na chakula kinachowatosha watu wote waliopo uwanjani...hii ni ajabu na kweli wakuu.
Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa mwanza ametangaza kuwa baada ya maadhimisho watu wote wa uwanjani wasiondoke kwa kuwa watapewa chakula na kila mtu atakula.
Nimepata jibu kuwa kilichowavutia watu kwenda kwa wingi uwanjani ni chakula.Hivi CCM wanapata wapi pesa za kuwalisha watu wote hao?
Hivi CCM wana jeshi lao?
namuona bibi kiroboto kaingia
na nyimboMiaka 35 CCM hawana la kujivunia zaidi ya kwata? Aibu gani hii?
kwa taarifa yako hata mitume wa mungu hawakuwai kufanyia shughuli za vilage,eg madina maka,jesusalem nk think twicemi ningefurahi; kama maadhimisho ya miaka 35 ya CCM yangeazimishiwa kijijini kama kule Kitonto-Kigoma, Vyadigwa-Tanga, Matombo-Morogoro au kule maeneo ya Bujugo-Kagera na siyo Mjini kama hii ya leo.
sasa ndio najua tatizo letu watanzania ni CCM, ebu fanyeni hesabu, chama kilizaliwa 5/2/1977 leo tare 5/2/2012 ni miaka mingapi? mimi kwa kesabu zangu hii ni miaka 34! sasa wenzetuuu hiiii 35 yatoka wapi????