The Listener
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 993
- 217
connection katia ya ccm na madaktarimadaktari wanauhusiano upi na ccm?
Alietoa kauli hii ana akili kweli?? Hilo tu!! ndilo tunalo wahimizia wanawake kujitokeza katika chaguzi??1.Wanawake wajitokeze katika chaguzi ili wawafikie wanaume kiidadi
....................
Mwambie aache unafiki wa kijinga. Anasema chama kiwaondoe wachafu, mbona yeye kashindwa kuwaondoa serikalini Ngeleja na malima, Hosea na Utouh, ni wasafi hao? Mbona kashindwa kuwawajibisha Jairo na Luhanjo... Mbona anawachekeachekea Nyoni na Mponda, ni wasafi hao? &&@@@$ zake....
connection katia ya ccm na madaktari
1.tatizo kubwa la madaktari = mazingira bora ya kazi zikiwemo posho ambayo inadaiwa haiwezi kulipika
2.posho ya wabunge = kuboresha gharama za za maisha magumu huko dodoma (imeongezwa)
3.majadiliano ya posho = yamefanyika bungeni dodoma
4.bunge = limeundwa na vyama vya siasa (karibu theluthi mbili ni wa ccm)
kwa kifupi mahusiano ni: Posho 'iliyopitishwa' chini ya kivuli cha ccm na ile iliyokataliwa kwa madaktari. Nimetumia mfano rahisi ili ulione hili ambalo hata macho makavu alikuwa na kiu walau kulisikia mkuu akilitolea walau neno lau dogo tu kwani watz bado waumia mahospitalini lakini tumeambiwa tusubiri wakati ukifika atatuambia.
unazeeka vibaya wewe
kakomaa kweli, atakuwa analipwa per post.
Alietoa kauli hii ana akili kweli?? Hilo tu!! ndilo tunalo wahimizia wanawake kujitokeza katika chaguzi??
Sio kwamba wajitokeze kwa sababu wanaweza? mfano Halima Mdee ni Mbunge Bora kuliko wabunge 100 wa CCM!! Siyo kuwajaza kina Sofia Simba,Hawa Ghasia, Maua Daftari na wachovu wengine ili tu kuzidisha idadi yao!!!
kinachonipa tabu katika umati huu ni kuwa ina maana wapenzi ,wanachama na washabiki wote wa ccm wana sare na tena sare mpya. na kama ni hvyo ina maana hawazitumii wakati mwingine wowote isipokuwa kwenye sherehe, tena za miaka 35. je ni kwa nini hatuoni watu wengine wasio na sare kwenye msafara? je hii haimaanishi kuwa walioko kwenye maandamano haya wote wameandaliwa kwa kujengewa mazingira ya kuwa kibarua wa kutwa kwa kupewa ujira ili wavae sare hizo kwa walau kwa kutwa moja kwa ujura fulani? TAFAKARI CHUKUA HATUA!
Kwa nini CCM wanaendeleza hizi mbinu za kizamani? Kukabidhi kadi is purely cosmetic haitasaidia chochote. Uanachama uko moyoni.
sawa,nakuja kukushughulikia.
nape huyu kijana mdogo amevimba tumbo kama......Mbona una mambo ya kipompompo,Nape atakuja kwako baadae.
umepima lini tena kichaa chako kama kimepungua?angali isije kuwa umekatiza dozi.
naona kama hzo jez mpya zote,wamenunua au wamepewa?