Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
Fanya kazi wewe,
sawa,nakuja kukushughulikia.
Fanya kazi wewe,
unazeeka vibaya wewemimi nimeingia nec nikiwa 32yrs hivyo tuwape nafasi vijana
kakomaa kweli, atakuwa analipwa per post.Leo umelipwa shs ngap?unasubiria wali uwanjani?
akubadilishi mtazamo wa mwanza.
wanachama 1847 wamejiunga na CCM wakitokea upinzani
nani kakwambia kwamba wametoka upinzani, kama wametoka upinzani mbona kadi walizokuwa nazo awali hawakuzionesha. hawa ni walewale CCM ila walikuwa hawana kadi kama wewe.wanachama 1847 wamejiunga na CCM wakitokea upinzani
kazi hii ya kukijenga chama iwe ni ya kila siku.sio kusubiri matukio.mwanachama akiwa mchafu tumuondoe