Maadhimisho ya miaka 35 ya CCM live Star tv

Maadhimisho ya miaka 35 ya CCM live Star tv

madaktari wanauhusiano upi na ccm?
connection katia ya ccm na madaktari

1.tatizo kubwa la madaktari = mazingira bora ya kazi zikiwemo posho ambayo inadaiwa haiwezi kulipika
2.posho ya wabunge = kuboresha gharama za za maisha magumu huko dodoma (imeongezwa)
3.majadiliano ya posho = yamefanyika bungeni dodoma
4.bunge = limeundwa na vyama vya siasa (karibu theluthi mbili ni wa ccm)
kwa kifupi mahusiano ni: Posho 'iliyopitishwa' chini ya kivuli cha ccm na ile iliyokataliwa kwa madaktari. Nimetumia mfano rahisi ili ulione hili ambalo hata macho makavu alikuwa na kiu walau kulisikia mkuu akilitolea walau neno lau dogo tu kwani watz bado waumia mahospitalini lakini tumeambiwa tusubiri wakati ukifika atatuambia.
 
1.Wanawake wajitokeze katika chaguzi ili wawafikie wanaume kiidadi
....................
Alietoa kauli hii ana akili kweli?? Hilo tu!! ndilo tunalo wahimizia wanawake kujitokeza katika chaguzi??
Sio kwamba wajitokeze kwa sababu wanaweza? mfano Halima Mdee ni Mbunge Bora kuliko wabunge 100 wa CCM!! Siyo kuwajaza kina Sofia Simba,Hawa Ghasia, Maua Daftari na wachovu wengine ili tu kuzidisha idadi yao!!!
 
kinachonipa tabu katika umati huu ni kuwa ina maana wapenzi ,wanachama na washabiki wote wa ccm wana sare na tena sare mpya. na kama ni hvyo ina maana hawazitumii wakati mwingine wowote isipokuwa kwenye sherehe, tena za miaka 35. je ni kwa nini hatuoni watu wengine wasio na sare kwenye msafara? je hii haimaanishi kuwa walioko kwenye maandamano haya wote wameandaliwa kwa kujengewa mazingira ya kuwa kibarua wa kutwa kwa kupewa ujira ili wavae sare hizo kwa walau kwa kutwa moja kwa ujura fulani? TAFAKARI CHUKUA HATUA!
 
Mwambie aache unafiki wa kijinga. Anasema chama kiwaondoe wachafu, mbona yeye kashindwa kuwaondoa serikalini Ngeleja na malima, Hosea na Utouh, ni wasafi hao? Mbona kashindwa kuwawajibisha Jairo na Luhanjo... Mbona anawachekeachekea Nyoni na Mponda, ni wasafi hao? &&@@@$ zake....

Bendera za vyama vya siasa vya upinzani leo zinapepea NUSU MLINGOTI
 
connection katia ya ccm na madaktari

1.tatizo kubwa la madaktari = mazingira bora ya kazi zikiwemo posho ambayo inadaiwa haiwezi kulipika
2.posho ya wabunge = kuboresha gharama za za maisha magumu huko dodoma (imeongezwa)
3.majadiliano ya posho = yamefanyika bungeni dodoma
4.bunge = limeundwa na vyama vya siasa (karibu theluthi mbili ni wa ccm)
kwa kifupi mahusiano ni: Posho 'iliyopitishwa' chini ya kivuli cha ccm na ile iliyokataliwa kwa madaktari. Nimetumia mfano rahisi ili ulione hili ambalo hata macho makavu alikuwa na kiu walau kulisikia mkuu akilitolea walau neno lau dogo tu kwani watz bado waumia mahospitalini lakini tumeambiwa tusubiri wakati ukifika atatuambia.

Posho kwa wabunge ziongezwe hadi laki tano (500,000/=) tena ziitwe (UJIRA WA MWIA) - shibuda wa chadema
 
Alietoa kauli hii ana akili kweli?? Hilo tu!! ndilo tunalo wahimizia wanawake kujitokeza katika chaguzi??
Sio kwamba wajitokeze kwa sababu wanaweza? mfano Halima Mdee ni Mbunge Bora kuliko wabunge 100 wa CCM!! Siyo kuwajaza kina Sofia Simba,Hawa Ghasia, Maua Daftari na wachovu wengine ili tu kuzidisha idadi yao!!!

umepima lini tena kichaa chako kama kimepungua?angali isije kuwa umekatiza dozi.
 
kujiunga na chama kwangu si hoja sana. hoja ni ile nia na imput ya mtu katika hicho chama
 
kama pics izi hapa na hali kwenye tv jinsi wadau mnavyosema ndo ilivyo hii nchi kwa kifupi we are totally doomed kama sio kuwa wehu haiwezekan kwa hali tuliyonayo sasa ivi na mitikisiko yote inayoletwa na ccm na mafisadi wake still wananchi wanaikimbilia kma watoto wanavyomkimbillia baba atokapo kazini. Inasikitsha Jamaa zangu wa cdm kuchukua nchi kma style ndo hii 2015 ni ndoto may be 10 yrs later
 
kinachonipa tabu katika umati huu ni kuwa ina maana wapenzi ,wanachama na washabiki wote wa ccm wana sare na tena sare mpya. na kama ni hvyo ina maana hawazitumii wakati mwingine wowote isipokuwa kwenye sherehe, tena za miaka 35. je ni kwa nini hatuoni watu wengine wasio na sare kwenye msafara? je hii haimaanishi kuwa walioko kwenye maandamano haya wote wameandaliwa kwa kujengewa mazingira ya kuwa kibarua wa kutwa kwa kupewa ujira ili wavae sare hizo kwa walau kwa kutwa moja kwa ujura fulani? TAFAKARI CHUKUA HATUA!

Mkuu hilo la sare inawezekana kabisa kuwa huwa wanaziweka ndani mpaka palipo na shughuli zao, Mie nilisafiri kwenda kijijini na gari langu, njia ile kutoka barabara ya lami hakuna basi lolote, kule njianii niliwakuta watu wakitembea wakielekea kule niendako na nilichokifanya ni kumbukumbu na iesaidia watu kutokuvaa kijani njano yao, aliyekuwa na kijani njano no kupanda gari yangu mpaka nikafika kijijini, kabla ya kuondoka kukawa na mwanakijiji ambaye alikuwa na mtoto mgonjwa kwa wiki kadhaa na wakaniomba niende kumwona, kweli alikuwa hoi bin taabani kwa kusumbuliwa na jipu lililohitaji kupasuliwa tu na Antibiotics then angepona, basi nikawashauri kuwa niwachukue mpaka Hospitalini na wakakubali, mgonjwa akaingizwa ndaani ya gari na ndugu wakaanza kupanda na wakajazana sana kuzidi uwezo wa gari basi kuwapunguza sikuwa na aibu kutumia kigezo cha kuwaambia kwamba wale waliovaa magwanda ya CCM pungueni gari mie huwa sibebi wana CCM (kichwani tulikuwa wawili) then wakapungua mama mmoja na mwanaume mmoja halafu mie nikapeleka mgonjwa mpaka Hospitali na nikawalipia/Honga kwa huduma fasta halafu mie nikaishia, feedback niliyoipata ni nzuri sana kwani siku hizi wakionana na mtu aliyevaa kijana basi huanza kumkimbia kwani wanaogopa kukosa kusaidiwa na watu wasio na mrengo wa CCM
 
Kwa nini CCM wanaendeleza hizi mbinu za kizamani? Kukabidhi kadi is purely cosmetic haitasaidia chochote. Uanachama uko moyoni.

Too bad kwa hata CHA.DE.MA. uwa wanatumia mtindo huu.
Nimeshawaambia kama chama kinataka kuwa na wanachama wenye kukijua chama;nikimaanisha itikadi,sera,taratibu na misimamo ya chama,utaratibu wa kupeana kadi majukwaa hautakisaidia chama kwa lolote zaidi kuwa na idadi kubwa ya wanachama ambao ni rahisi kudanganywa kwa kutoelewa vyema misingi ya chama.

Ni heri kuwa na wanachama wachache walio imara;wanaoelewa misingi ya chama;na walio tayari kukipigania na kukitetea chama kutoka kwa wapinzani wake,kuliko kuwa na wanachama lukuki wasio na msaada wa kweli kwa mustakabali wa chama.
 
Mimi wala hawanitishi hao, tukisimika mziki wetu sisi CHADEMA hapo watatafutana.
 
Ngoma inogile, watu wameambiwa wazunguke wakapate chakula kumbe zuga, hakuna cha ng'ombe 70 wala 50. Watu wamerudi na njaa zao wanalalamika hao!
 
Hapa nami nirudi tu home imekula kwangu! Hata soda sijapata, maji bila bila. Nilitaka angalau nifaidi kodi yangu ila imeshindikana. Leo ndo nimeamini kuwa ccm ina wenyewe. Cha kushangaza baada ya Mukulu kuondoka jamaa wameturudisha kwenye mgao. Ful Mgao mwanza ule utabili wa Mwanahalisi kurudi kwa Mgao mbona sisi Mwanza tunakoma! Wiki ya Pili tunakula mgao wa umeme. Mungu ibaliki Tanzania
 
Back
Top Bottom