Maadau wenye haki ya kuishi......

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,731
1,195
Wakati Tanganyika inapata uhuru wake wa awamu ya kwanza rais wa wakat huo alisema kuna maadui watatu ambao wanaisumbua Tanganyika,nao ni njaa,maradh na ujinga,,Katika kipindi hiki cha muda wa miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika AMEONGEZEKA ADUI MWINGINE naye ni RUSHWA,,,,,,,,,ambae amekuja kuongeza nguvu kwenye timu,sasa japo hawa waliitwa ,aadui ambao hawakupewa fursa ya kuwa nasi,lakin leo hii maadui hawa ndio walipewa haki ya kuishi na wanapaliliwa kwa kila namna,,,,,,kwa mtazamo wangu nadhan hawa maadui wanawezeshwa na GENGE la viongozi au watawala uchwara
kwa mtazamo wangu,,,,naweza sema kuwa maadui hawa wamepewa haki miliki ya kuishi
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom