Ma William Shakespears wa JF

Boeing 757

JF-Expert Member
May 18, 2020
288
612
Mimi sijawahi jutia kuwa Jf. Kuna vichwa humu vinatema madini muhimu sana kiasi kwamba unaanza kumtathmini huyu anayeandika hivyo kichwani huwa anawaza nini.

Kuna watu wana upeo wa kufikiri mbali sana ukiachana na wale vichwa panzi wao ni matusi kutokana na stress za maisha na msoto.

Binafsi mimi JF na JF ni mimi kutokana na watu unique with distinguished honor wanaopatikana humu pamoja na mawazo yao. watu wanaichukulia poa Hii forum lakini kupitia Hii nimepata majibu concentrated ,ambapo nisingeweza pata kwenye semesters za university .

Kwa kifupi JF kuna ma William Shakespears WENGI sana wewe sema wengi we're underestimate them... Mshana Jr kama nakuona vile
 
Kuna bro Mshana Jr , MKWEPA KODI (huyu sijui kapotelea wapi siku hizi) Erythrocyte , wapo wengi sana
 
Mimi sijawahi jutia kuwa Jf. Kuna vichwa humu vinatema madini muhimu sana kiasi kwamba unaanza kumtathmini huyu anayeandika hivyo kichwani huwa anawaza nini.

Kuna watu wana upeo wa kufikiri mbali sana ukiachana na wale vichwa panzi wao ni matusi kutokana na stress za maisha na msoto.

Binafsi mimi JF na JF ni mimi kutokana na watu unique with distinguished honor wanaopatikana humu pamoja na mawazo yao. watu wanaichukulia poa Hii forum lakini kupitia Hii nimepata majibu concentrated ,ambapo nisingeweza pata kwenye semesters za university .

Kwa kifupi JF kuna ma William Shakespears WENGI sana wewe sema wengi we're underestimate them... Mshana Jr kama nakuona vile
 
William Shakespeare alikuwa mtu mmoja wa peke yake, ambaye alijumuisha sheria, elimu ya utabibu, nyota, jeshi, jiografia, saikolojia, imani, lugha katika maanidshi yake. kiasi kwamba mpaka leo bado wanazuoni bado wanabishana kama carpenter ambaye hata hakuwahi kusafiri sana hakuwa kasoma sana angeweza kuandika yale aliyoyaandika. Ametumia misamiati mingi kuliko mwandishi yoyote yule.
JF kuna waandishi ila siyo level za Shakespeare.
 
Back
Top Bottom