Ma-TO wawili katika mtihani mmoja Japhet S John na Aude G Kileo

UDSM Telecom aka graduate 2015
Mkuu deadbody kuna MTU aliyevunja record ya kihombo jamaa naambiwa alidisco akautolea review moja ya physics tumeipga sana enz izo kipnd cha misuli mirefu

Ila nilisikiaga alirud kupga petroleum and gas sasa sijui kama kamaliza au bado
 
Jamaa alinifundisha Olev nikiwa Kwa Mtata Mtatuzi.Mtata akasema nawaletea T.O wa form 6 awafundishe VECTOR...Hahahaha akazama mtaalamu wa MATH 'ELIAS KIHOMBO'.Jamaa anajua balaa ila tu MUHUNI SANA
 
T.O 2009 OLEV na akaingia TOP 10 FORM 6 MWAKA 2012 'GWAMAKA NJOBERO' alilamba SUP 'UDSM'
Inaweza tokea. Makosa madogo tu yanaweza sababisha. Ila mshikaji nimejifunza mengi kwake alipokuwa A level. Alikuwa anasoma sana japo uwezo alikuwa nao mkubwa. Alikuwa mkimya asiyekuwa na makuu. Mtaratibu na kwa kumwangalia huwezi amini kama ndoa alikuwa T O. Hongera kwake.
 
Hahahaha Mkuu MUHAGACHI CHACHA aliniaga nyumbani akaniambia Deadbody tutapiga pindi week ijayo naenda kufanya mtihani chuo,kufuatilia KUMBE 'SUPPLEMENTARY NI SOMO KAMA SOMO LINGINE'
kama umepita udsm supp sio kitu cha kumcheka mwenzio,pale watu huwa wanaomba wagraduate tu hata kama watagradute na gentleman degree.
 
Kuna mmoja nimesua nae sua aliingia top 10 mwaka 2012....

Jamaa performance yake nadhani haijawahi tokea tangu chuo cha sua kianzishwe na jamaa mwenyewe ukimuona huwezi dhahania ndio alikuwa anatukimbiza mule ni mstaarabu kwelikweli.....

Wale waliosoma Kibaha wanamfahamu anaitwa LUVANGA JULIUS..... weka mbali na watoto huyu jamaa.....
 
Sasa hawa Tanzania One wako wapi? Tunaelekea kwenye uchumi wa viwanda....baada ya kumaliza kusolve maswali magumu tunataka ugunduzi
 
nilisikia tetesi alipigaga interview havard wakamtema..za kweli?
Sio tetesi ,jamaa nimekaa nae sana Banana.Kitu alichoshindwa ni kufaulu mtihani wa Computer.Siunajua adv hajasoma computer na interview alipewa computer afanye MAMBO..

T.O hata button ya KUWASHA alikuwa haijui...

Halafu ndio HARVARD wamchukue KUPIGA telecom?
 
Duuu si mchezo wape Habari wenye Habari zao,waendelee kukaza mtaani maana ndio vipanga haswa! I hope watakuwa wanafanya Kazi taasisi Kubwa kubwa kama TISS,UN,IMF,WB, etc
Wenye akili sana class wakija kitaa wanatiwa kidole na mwisho wao huwa mbaya...ila wale division 3 au 4 ndo wala bata wakubwa. I am writing from my experience
 
Sio tetesi ,jamaa nimekaa nae sana Banana.Kitu alichoshindwa ni kufaulu mtihani wa Computer.Siunajua adv hajasoma computer na interview alipewa computer afanye MAMBO..

T.O hata button ya KUWASHA alikuwa haijui...

Halafu ndio HARVARD wamchukue KUPIGA telecom?

mmh T.O gani huyo alishindwa kuwasha button ya kompyuta, jina lake pls Deadbody
 
Back
Top Bottom