Isack Michael
Senior Member
- Jan 12, 2017
- 122
- 34
Je ukitaka kutengeneza operating system ya cm kama ilivyo android naombeni mnisaidie ni hatua gani zinaitajika kutumika nakaribisha mawazo na ushauri wenu.
Nikijiuliza ivyo itakuwa ni upuuzi coz kila mtu analengo lake na watanzania kinacho waxhinda ni kutokujituma na kuthubutu wengi wana idea lakini awajataka kujaribu kufanya kwanini waliotengeneza wameweza na sisi kwanini tushindwe watanzania awataki kufanya kazi kwa ushirikiano na kwa pamoja pia hiyo ni sababu lakini asante kwa comment yako.mkuu kutengeneza os ni project ambayo inaganywa na watu wengi sana na inagharama kubwa kuinvest we jiulize mbona walimu wa IT ni wengi Sana na wanafundisha os lakini hawajawahi hata kuwaza ku develop
Kuprocess madini haiwezekani kwa sababu wanasema ni gharama, bali hata kuunda OS nalo ni gharama!mkuu kutengeneza os ni project ambayo inaganywa na watu wengi sana na inagharama kubwa kuinvest we jiulize mbona walimu wa IT ni wengi Sana na wanafundisha os lakini hawajawahi hata kuwaza ku develop
Unaweza kutengeneza OS ya simu! Kampuni zinazotengeneza CPU za simu kama vile Qualicom wanatoa CPU demo Kit na source code ambazo unaweza tumia kufanya majaribio yako. Mbali na Android zipo OS zingine za simu kama vile Ubuntu,Samsungu wana yaoJe ukitaka kutengeneza operating system ya cm kama ilivyo android naombeni mnisaidie ni hatua gani zinaitajika kutumika nakaribisha mawazo na ushauri wenu.
Kwaiyo na wewe unataka kutengeneza OSUnaweza kutengeneza OS ya simu! Kampuni zinazotengeneza CPU za simu kama vile Qualicom wanatoa CPU demo Kit na source code ambazo unaweza tumia kufanya majaribio yako. Mbali na Android zipo OS zingine za simu kama vile Ubuntu,Samsungu wana yao
Niliwai ongeaga na Qualcom( wanaotengeneza CPU za simu kwa samsung,uhawei ,nk) lakini sikuwa na muda kwani ni time consuming task. Ila all the best
List of Mobile ProcessorsView attachment 515403
No sina mpango huo ,wa kutengeneza OS.Kwaiyo na wewe unataka kutengeneza OS
Mkuu, inabidi ufungue ofisi na uwe na uwezo wa kuajiri ma programmer kama elfu moja hivi... Tena wale wenye weledi wa hali ya juu wa kuchapa codes...Je ukitaka kutengeneza operating system ya cm kama ilivyo android naombeni mnisaidie ni hatua gani zinaitajika kutumika nakaribisha mawazo na ushauri wenu.
Mkuu, inabidi ufungue ofisi na uwe na uwezo wa kuajiri ma programmer kama elfu moja hivi... Tena wale wenye weledi wa hali ya juu wa kuchapa codes...
So hawa wanaweza kukupatia hardware kwa ajili ya majaribio?Unaweza kutengeneza OS ya simu! Kampuni zinazotengeneza CPU za simu kama vile Qualicom wanatoa CPU demo Kit na source code ambazo unaweza tumia kufanya majaribio yako. Mbali na Android zipo OS zingine za simu kama vile Ubuntu,Samsungu wana yao
Niliwai ongeaga na Qualcom( wanaotengeneza CPU za simu kwa samsung,uhawei ,nk) lakini sikuwa na muda kwani ni time consuming task. Ila all the best
List of Mobile ProcessorsView attachment 515403
Ndio wanatoa demo kit ambazo unaweza kutengeneza simu au modem jiunge hapa kisha fuata maelezo Qualcomm IDSo hawa wanaweza kukupatia hardware kwa ajili ya majaribio?