love more than100
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 2,061
- 715
House boy kabisa!!!
Mbona akiamua kuchepuka wako wengi tu huko mtaani wenye muda,house boy inakuwa kama unambaka maana ana hofu yuko na big boss!
Mwanamke wa kutembea na houseboy hana dawa...hata ufanyaje..
Kwa hiyo yule aliye katika uhusiano na mwanaume lakini asitembee na 'houseboy' bali bosi wake, mfanyabiashara, mpenzi wake wa zamani, na kadhalika, yeye ana dawa?
Mi nilidhani kuchepuka ni kuchepuka tu na ukishachepuka ni umechepuka na haijalishi umechepuka na nani. Kumbe hata kuchepuka kuna viwango na madaraja!!??
Anakua keshakula kitoto kimoja kitaa, nyumbani wamama wameotesha vitambi, haqajipendi na Kutwa kulalama Mara watoto, Mara umeme, Mara kuku... Kichwani ana mabutu, anaoga Mara moja kwa siku etc.We mzee mwenye nyumba umekalia pombe na nyama choma wengine mipira ya Premier league ukirudi upo bize na laptop unajidai upo bize. Hata ukipewa game full kulalamika eti umechoka unako.joa kimoja hoi. Mwenzio houseboy yupo home saa zote wife akirudi amechoka anaanza kwanza na Salaam Shikamoo Mama...Pole... anampokea begi.. anamuandalia juice...maji ya kuoga...sasa siku anatunukiwa papuchi anapiga papuchi kama hana akili nzuri.....WE KAZI KUSUKUMA KITAMBI TU.....
Wapo watu wanachagua who to sleep with na Wengine akishakunywa anyone wa Karibu.....I am sure hata wewe kuna types Huwezi touch hata uwe na hamu vipi....sasa some women don't choose..
Mwanamke wa kutembea na houseboy hana dawa...hata ufanyaje..
Wapo watu wanachagua who to sleep with na Wengine akishakunywa anyone wa Karibu.....I am sure hata wewe kuna types Huwezi touch hata uwe na hamu vipi....sasa some women don't choose..
Mtu Kula housegirl au kuliwa na houseboy ni uchafu tu.... Hauna justifications
But does it make a difference if one is married and strays with a housemaid as opposed to a CEO or businessman?
Because what I'm inferring from your post is that straying with someone of stature somehow assuages the pain, humiliation, and the embarrassment that comes with being cheated on.
Is that what you are saying?
Because to me cheating is cheating. I don't care who it is done with. Cheating is cheating, period, end of sentence.
As to your point about being choosy. You're damn right about that. They don't get any choosier than me.
The point here ni hii...ambae hachagui atakupa kichaa zaidi sababu utakuwa una guess yupi katembea nae Kabla hujathibitisha na kuchukua uamuzi...while yule ambae anachagua ukihisi ana cheat..utajua wapi uanzie...yes cheating is cheating
Nilikua namaanisha uko na mtu you think you know that person until you find out Ana sleep na houseboy...hapo ndo unajua kumbe this woman is a cheap slut...hukua unajua mwanzo she can go that low..I really think you are splitting hairs, Bossman.
Mi nadhani yule ambaye hachagui (whatever that means) wala hatakupa kichaa zaidi wala kukuumiza kichwa.
Kwa sababu nadhani atakuwa kakurahisishia kazi ya kusuka ama kunyoa. Guesswork ya nini ilhali unajua hachagui?
Guesswork ya nini ilhali unajua she'll *** just about anything she can get her hands on or get it to stay still?
That kinda woman will make my decision-making process very simple without the slightest compunction!
Mwanamke wa kutembea na houseboy hana dawa...hata ufanyaje..
Nilikua namaanisha uko na mtu you think you know that person until you find out Ana sleep na houseboy...hapo ndo unajua kumbe this woman is a cheap slut...hukua unajua mwanzo she can go that low..
Lakini Bossman, huoni kwamba kudhani kuwa "this woman is a cheap slut...hukua unajua mwanzo she can go that low.." kisa tu kalala na houseboy, ni kumdharau houseboy na kumchukulia kama binadamu asiye na hadhi?
Kwa nini huo mtazamo wako usiwe across the board kwa yeyote anacheat?
Kwa sababu kama ushakubali kuwa cheating is cheating regardless, why then shouldn't it be the same regardless of the stature of the paramour?
A married woman cheating on her husband with a record label executive, for example, is not going low? She ain't a cheap but expensive slut for doing that?
nini? labda umemtoa kilosa huyo houseboy..ukutane na houseboy wa masaki utatepeta nakwambia analamba mbunye kama ng'ombe anavolamba lile jiwe la chumvi
Weee wacha hii mamboo h/boy anapiga vilivyoo au upate watchman na awe yeerooo hapa weee asikuambie na kukudanganya mtu hawa ndio wanaofaidi mali za mapendeshee walio busy.