NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
me nikupe kwa kifupi mno! watu wengi wanachanganya sana haya mambo ya ki biblia.
Biblia imegawanyika mara mbili. kuna agano la kale ambalo lilihusu waisraeli tu! na kuna agano jipya ambalo linahusu kila mtu katika ulimwengu huu.
labda unambie kuwa wewe ni mu israel na unaishi kabla ya yesu kuleta agano la pili(jipya). Vinginevyo hizi sheria ambazo sisi hatupo tena chini yake ziliwafaa sana waisraeli kwa wakati huo!
si hiyo tu uliyoisema bali zipo nyingi tu ambazo hazifai na hazitekelezeki kwa sasa. Ndio maana Mungu alisema wazi kuwa "siku zinakuja nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Yuda. Si kama lile nililofa na baba zao wakalivunja........." Hivyo ndugu yangu hizo sheria na agano la kale kwa ujumla kwa sasa zisome kama story tu.
Sina access na jukwaa la dini sasa nmeona nitupie huku kwenye Intelligence.
Kuna some parts hua zinanivunja imani muda mwingine nikisoma kwenye bible which is actually a bad thing, sasa leo hili fungu limenichanganya akili
Deuteronomy 22:28-29New International Version (NIV)
28 If a man happens to meet a virgin who is not pledged to be married and rapes her and they are discovered,29 he shall pay her father fifty shekels[a] of silver. He must marry the young woman, for he has violated her. He can never divorce her as long as he lives
mimi naamini kuwa Mungu alikuwa anakutana na Waisrael kulingana na mazingira, tamaduni, nyakati, uwezo wa ufahamu nk. sisi tunaoishi kipindi cha leo tunaweza kushangaa mambo mengi sana yaliyokua yanaendelea wakati huo na unaweza kuhisi na kumshangaa Mungu .. mfano mzuri kwa sisi wakristo tunaamini katika ndoa moja lakini enzi hizo (agano la kale) walikua wanaoa wake wengi hata wafalme maarufu walikuwa na wake wengi ( akina daud, sulemani nk) na Mungu hakuonyesha kujali sana... vitu vingine alikuwa anawaachia tu kwa sababu ya huruma zake
tukirudi kwenye mada naamini kuwa kulingana na tamaduni za Israel na jinsi walivyo watreat wanawake (Wasomi wanasema kizazi hicho walikuwa wanawachukulia wanawake kuwa wanaakili kidogo kuliko ng'ombe) hiyo sheria ilikua ni msaada sana kwao... kwa jinsi unavyomchukulia mwanamke husika unadhani alikua anaamua nani wa kumuoa au kuishi nae? jamii haikumpa nafasi hiyo au uhuru huo... ilikuwa ni kawaida mwanamme akambaka binti bikira alafu labda akalipa fine tu kwa wazazi husika then ikaishia hapo... kumbuka pia kuwa enzi hizo ilikuwa haiwezekani kumuoa mwanamke ambae sio bikira kwa nanma yoyote ile kwa hiyo huyo mwanamke ndo imeishia hapo HAOLEWI TENA MAISHA YAKE YOTE..
suala kuwa wanawake wanakubali/wanachagua/au wanajisikiaje nani amuoe lilikua halipo na sio la kujadiliwa.. baba na ndugu zake wa kiume ndo wanakubaliana na familia ya muoaji kwa maslah yao.. na ukifiwa na mme wako unachukuliwa na ndugu wa mume SI WEWE unayeamua. kwa hiyo hiyo amri ya Mungu kwao ilikuwa inawafavour sana wanawake wa kipindi hicho na waliona wamekombolewa...
Sina access na jukwaa la dini sasa nmeona nitupie huku kwenye Intelligence.
Kuna some parts hua zinanivunja imani muda mwingine nikisoma kwenye bible which is actually a bad thing, sasa leo hili fungu limenichanganya akili
Deuteronomy 22:28-29New International Version (NIV)
28 If a man happens to meet a virgin who is not pledged to be married and rapes her and they are discovered,29 he shall pay her father fifty shekels[a] of silver. He must marry the young woman, for he has violated her. He can never divorce her as long as he lives
Ni wazi kabisa fungu linasema kua mwanaume akikutwa kambaka binti ambaye ni bikra basi atamlipa baba yake huyo mwanamke vipande vya silver alafu atatakiwa kumuoa na hatotakiwa kumpa talaka maisha yake yote.. Sasa hili fungu linachonichanganya, kwa nini mwanamke wa atu abakwe afu tena biblia itake aoane na huyohuyo aliyembaka, si ni mateso hayo ambayo binti hakujitakia, yani anakua kama analipa kosa ambalo hakulifanya tena for life? This is cruel! em nisaideni niondoe mashaka yangu..
Afu kama huna la maana la kuongea usijibu, i dont wish to see watu wanaanza kusema dini yao ndo ya kweli blah blah blah.. ulizaliwa tu huko usiwe mpiga kelele sana
ridhaa ilikuwepo. unakumbuka wakati isaka anatafutiwa mke? rebecca aliulizwa utakwenda na mtu huyu? naye akasema nitakwenda
Ndio maana wengine tukisoma vitu kama hivyo huwa tunashangaa Biblia kuitwa kitabu kitakatifu.
Sikuhizi wanarudi wenyewe mwaya,, tenawanamsemo kukosea wakatiwa kwenda kurudi wanarudiwenyewe tufanyeje tukirudi turudi wotee??ridhaa ilikuwepo. unakumbuka wakati isaka anatafutiwa mke? rebecca aliulizwa utakwenda na mtu huyu? naye akasema nitakwenda
Nuru na Giza azikai pamoja uwezielewa. + name YakoNdio maana wengine tukisoma vitu kama hivyo huwa tunashangaa Biblia kuitwa kitabu kitakatifu.
acha uwongo hicho kifungu umekisomea hapa tu.. hujawahi soma biblia wewe..
Sawa nimekupata. Israel ilianzia kwa Yakobo, lakini unataka kuniambia kuwa ustaarabu ulikuwa ukipungua kadiri walivyokuwa karibu na Mungu? Si kweli. Hawakuwa punguani kiasi hicho japo ukisoma Kumbukumbu unaona ni jinsi gani walikuwa na akili ngumuMkuu nazungumzia taifa la Israel na tamadumi/mila zao... kipindi cha rebeca hakukuwa na kitu kinaitwa Israel...
HAOLEWI TENA MAISHA YAKE YOTE[/B]..
...
Acha kutoa povu la moto! Umejuaje kama sijawahi kusoma Biblia? Hata kama sijawahi kusoma hiyo verse peke yake inaondoa merit ya Biblia kuwa na utakatifu!