Ma-DC Wanawake: Hebu Tuwekane Sawa Sasa!

Apr 27, 2006
26,588
10,376
ma-DC wapya kinamama

Wakuu wa Wilaya wapya, sita wanawake kati ya 15 walioteuliwa na Rais hivi karibuni wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kumaliza semina elekezi mjini Morogoro, majina na Wilaya zao kwenye mabano , kutoka kulia ni Fatma Mwassa ( Mvomero), Queen Mlozi ( Ukerewe), Fatma Ally ( Nanyumbu), Mery Silla (Arumeru), Dk Rehema Nchimbi ( Newala) na Angelina Mabula ( Mulemba)., mafunzo hayo ya awali yalifanyika kuanzia Mei 5,hadi 8, mwaka huu.
 
- Jamani naomba tukate mzizi wa fitina sasa, nimesoma mara nyingi sana hapa JF kwamba kuna baadhi ya M-DC wetu kina mama kuna ambao ni nanihii wa Wakulu wetu na hasa mkulu wa kaya na el,

- Nimewaangalia sana katika hii picha nimeshindwa kuamini kwamba kuna hata mmojawapo hapa anayeweza kuwa, sasa wale mnaofahamu zaidi tuonyesheni yupi ni yupi na nani hasa hapo kwenye picha!

- Mods samahani kama haipo inapotakiwa.

Respect.

FMEs!
 
It may or may not be true. Who knows? Nothings surprises me especially in Tanzania. Kama watu wana wekana kwa ufisadi wa pesa ndiyo washindwe kufanya hivyo na kwenye ufisadi wa ngono?
 
kama ni mwanamke kapata madaraka/nafasi yanasemwa mengi.Je wanaume wakipata, kunakuwepo na consideration gani?

Dada ni kama unaichukulia personally because you are a woman. Hamna aliyo sema those woman actually did something kupata madaraka au kuwa kila mwanamke anafanya hivyo kufanikiwa. Kwani una kataa kuwa kuna watu wana lala kwa ajili ya cheo au pesa? Mbona kuna hata wanaume wana fanya hivyo? No body want to down play any woman's achievements what is being said is maybe na wapo wanao lala ili kupata vyeo na wanaume wanao fanya hivyo pia wapo. Don't take it personally because you are a woman dada angu.
 
Bongo "nothing goes for nothing". either ni kampeni zauchaguzi 2010 zimeanza kupata support ya wanawake au something goes on behind the scene.
 
- Jamani naomba tukate mzizi wa fitina sasa, nimesoma mara nyingi sana hapa JF kwamba kuna baadhi ya M-DC wetu kina mama kuna ambao ni nanihii wa Wakulu wetu na hasa mkulu wa kaya na el,

- Nimewaangalia sana katika hii picha nimeshindwa kuamini kwamba kuna hata mmojawapo hapa anayeweza kuwa, sasa wale mnaofahamu zaidi tuonyesheni yupi ni yupi na nani hasa hapo kwenye picha!

- Mods samahani kama haipo inapotakiwa.

Respect.

FMEs!

Kwa hawa wapya sioni hata mmoja wa kundi hilo, lakini huko nyuma kuna baadhi; mmoja mmoja hupewa nafasi kama fadhila kwa ukarimu waliotoa kwa baadhi ya wakulu.

Wengi wa wale wanaoteuliwa kipindi hiki kwa asilimia kubwa ni watumishi wa muda mrefu na huteuliwa baada ya kupigiwa debe na baadhi ya wanasiasa - hasa wabunge na mawaziri wanaowafahamu.
 
- Jamani naomba tukate mzizi wa fitina sasa, nimesoma mara nyingi sana hapa JF kwamba kuna baadhi ya M-DC wetu kina mama kuna ambao ni nanihii wa Wakulu wetu na hasa mkulu wa kaya na el,

- Nimewaangalia sana katika hii picha nimeshindwa kuamini kwamba kuna hata mmojawapo hapa anayeweza kuwa, sasa wale mnaofahamu zaidi tuonyesheni yupi ni yupi na nani hasa hapo kwenye picha!

- Mods samahani kama haipo inapotakiwa.

Respect.

FMEs!

Huyu Fatma Mwassa ana uhusiano na Hasna Mwilima Dc kutoka katika wilaya fulani huko Kilimanjaro.

Ni wanafamilia ya marehemu Al-hajj Abubakar Mwilima,unamkumbuka alikua katibu mkuu JUWATA akaenguliwa CCM miaka ya kati ya 80.

Huyu shekhe,alikuja achana na siasa kabisa akawa anaeneza dini.

Alipata karama na nguvu za ajabu sana,nina uhakika wa 100% kua Makamba alikua fundi wake.

Inasemekana ametumika 'kumpika' Muungwana wakati anajiandaa kukamata uongozi
 
Duu, inabidi tujiulize ufanisi wa upikaji wake, make Muungwana kavurunda kabisa!
 
- Jamani naomba tukate mzizi wa fitina sasa, nimesoma mara nyingi sana hapa JF kwamba kuna baadhi ya M-DC wetu kina mama kuna ambao ni nanihii wa Wakulu wetu na hasa mkulu wa kaya na el,

- Nimewaangalia sana katika hii picha nimeshindwa kuamini kwamba kuna hata mmojawapo hapa anayeweza kuwa, sasa wale mnaofahamu zaidi tuonyesheni yupi ni yupi na nani hasa hapo kwenye picha!

- Mods samahani kama haipo inapotakiwa.

Respect.

FMEs!

DAAAH, siamini kama Le Mutuz Baharia W. J. Malecela unaweza kumdhalilisha boss wake Nape kiasi hiki huku kila siku unajipendekeza kwa Nape hapa jukwaani. Naanza kuamini kuwa ile Ze Utamu iliyokuwa inamtukana rais wetu ilikuwa ni ya kwako wewe King of all social networks in Bongo Le Baharia Mutuz Big Show a.k.a Kilaza
 
Ama kweli sasa hii ni vita maana naona watu mnafanya kazi ya ziada kufukua mengi ambayo FMES aliwahi kuyatolea kauli.

Kweli siasa si picnic!!
 
- Jamani naomba tukate mzizi wa fitina sasa, nimesoma mara nyingi sana hapa JF kwamba kuna baadhi ya M-DC wetu kina mama kuna ambao ni nanihii wa Wakulu wetu na hasa mkulu wa kaya na el,

- Nimewaangalia sana katika hii picha nimeshindwa kuamini kwamba kuna hata mmojawapo hapa anayeweza kuwa, sasa wale mnaofahamu zaidi tuonyesheni yupi ni yupi na nani hasa hapo kwenye picha!

- Mods samahani kama haipo inapotakiwa.

Respect.

FMEs!

Teh teh teh
 
vp utendaji wa yule fancy nkuhi aliyevuma sana kwenye mitandao alipopewa u dc wakat ndo kwanza katoka chuo??????
 
- Jamani naomba tukate mzizi wa fitina sasa, nimesoma mara nyingi sana hapa JF kwamba kuna baadhi ya M-DC wetu kina mama kuna ambao ni nanihii wa Wakulu wetu na hasa mkulu wa kaya na el,

- Nimewaangalia sana katika hii picha nimeshindwa kuamini kwamba kuna hata mmojawapo hapa anayeweza kuwa, sasa wale mnaofahamu zaidi tuonyesheni yupi ni yupi na nani hasa hapo kwenye picha!

- Mods samahani kama haipo inapotakiwa.

Respect.

FMEs!

Wiliama malechela naomba uweke picha ya dc wa Temeke hapa
 
Back
Top Bottom