Ma binti wa kingazija

Kama yuko ambaye atanifaa kama mahusiano nipatieni mmoja halafu kama tukielewana then tunahalalisha kuliko kuishi kuwasifia tuuuuu!Niko serious na hilo nililolisema.
Nashukuru kuona binti wa kingazija akijitokeza kwa nia nzuri tu,halafu mambo mengine yatafuata.
 
haahaaa ni balaaaa
Tatizo waoaji wenyewe hakuna...leo tukiona mabinti wa kingazija tunavutiwa nao, kesho akipita Alicia Keys tunamtamani.....Condi Rice akivaa kimini udenda unatoka(hii iko off the record)...

Upate mngazija kachanganya damu namtutsi......Yummy!!!
 
Back
Top Bottom