Ma binti wa kingazija | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ma binti wa kingazija

Discussion in 'Entertainment' started by Game Theory, Apr 10, 2008.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Ndugu yetu Mroki kule Comoro amekuwa yuko free mno

  anyway...hawa ni ma binti wa kingazija original na yo wale wanaojiita wangajiza Bongo


  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2008
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Mimi nadhani umefika wakati wa kuruhusu wale wote ambao asili yao ni Tanzania kuingia Tanzania bila Viza.

  Kule Somalia kuna kundi kubwa na Somali Bantu waongea Kizigua ni vema tuwaruhusu warudi kwao Tanzania.

  Huko Comoro pia kuna watu kibao wanaodai Tanzania ndiyo kwao ni vema pia tuwaruhusu warudi kwao.

  Bila kusahau kuna watu toka visiwa vya Fiji ambao wanadai asili yao ni Tanzania hasa Tabora Lindi Bagamoyo, Mwanza, Mpanda na Shinyanga. Hawa nao tuwaruhusu kuingia Tanzania bila Viza.
   
 3. mbarikiwa

  mbarikiwa JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2008
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 507
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35


  Hii nayo itakuwa ni vizuri kwani hata Watanzania wenye asili ya asia/ulaya wanaruhusiwa kuingia nchini kwao kwa asili bila viza.
   
 4. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2008
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  GT,

  Nna mpango wa kutembelea Comoro, kukitulia.

  Just a joke!
   
 5. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2008
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,275
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Unaweza kunifafanulia kidogo hapo na je vigezo vyovyote kutetea hoja yako hii?
   
 6. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Madela hebu toa shule kwanza, hao wa Comoro, Ngazija na Somalia tunawafahamu.

  Hawa Watanzania waliopotelea Fiji ilikuwakuwaje? Maana kwa kadiri ya jogoo kavaa kofia yangu Fiji iko Mashariki ya mbali kaskazini kidogo kwa New Zealand na Mashariki ya Australia. Hebu toa shule mazee.
   
 7. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2008
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  I have had my fair share of Ngazija babe....!!!!
   
 8. S

  Sabri-bachani Member

  #8
  Apr 11, 2008
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 96
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Khee!!! Babu wee. Wangazija original wazuri kushinda hawa wangazija wa kuchonga waliopo Bongo na Zenj. Moto...
   
 9. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Hawa Ni Ndugu Zetu Wa Asali Kabisa...na Wanajua Sana Kiswahili...na Hata Ikulu Yao Yaitwa Dar.....mahitaji Yao Memngi Sana Yatoka Huku Kwetu..na Zbar...

  Wanajeshi Wetu Wamepagawa Na Watoto Wa Visiwani Wanawagombania Mnoo...sijui Kama Ndoa Zao Wakirudi Zitakuwaje
   
 10. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Ndio maana nina demu wa kingazija pale zenj
   
 11. S

  Sabri-bachani Member

  #11
  Apr 11, 2008
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 96
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hongera Baba. Lakini taratibu. Sifa yao hao Wangazija- nikupashe mwakwetu..lazima uwe unahonga kila kitu. Usije ukasema ile nyumba ya Sinza chukua....., shamba la Mkuranga chukua...., zizi la n'gombe la Bahi chukua..., na shea zangu za mgodi wa Buzwagi pia nasabilia Manswap.... He hee.... roho juu juu.
   
 12. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  duh hao majeshi yetu yasije wakuta ya uganda tu


  halafu mbona hao wamekaa kama wamatumbi
   
 13. S

  Sabri-bachani Member

  #13
  Apr 11, 2008
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 96
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Khaa. si ndo mambo ya visiwani. Mchanganyiko babu.Wako waliokaa kama waraabu, walio-mchanganyiko na Wafaransa, wako wa (rangi) wa kati na kati na wako walioangukia katika umatumbi. Si kama vile mchanganganyiko wa Unguja au Pemba. Lakini hawa katika picha waa. moto ..........
   
 14. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2008
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
   
 15. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #15
  Apr 11, 2008
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwenye post watoto wa kingazija kuna jamaa ameandika kuwa wangazija ni wabongo kwani hata ikulu yao inaitwa Dar akiamanisha kuwa wamecopy jina la mji wetu wa kibiashara wa Dar es Salaam.

  Nimejibu kenye ile thread kumfahamisha asili ya Dar es Salaam na maana ya neno Dar. Neno Dar si neno la kiswahili laa hili ni neno la kiarabu lina maana Nyumba na neno Salaam lina maana hali ya kuwa na utulivu/amani.

  Waarabu wana historia na miji iliyozungukwa na pwani ya bahari ya hindi miji kama kilwa,zanzibar,mombasa ina historia zinazolingana majengo yake ya kale na hulka za watu wake. Ile sanamu ya bisumini ( Askari monument) ukiisoma kuna sehemu inasema kuwa sanamu ile ni kumbukukumbu kwa waafrika na waarabu waliokufa kwa ajili ya nchi zao wakati wa ukombozi ipo nyingine mjini mombasa sehemu inaitwa mwembe tayari inapicha ya askari wa kiafrika na wa kiarabu.

  Kwanini ilitafsiriwa Bandari Salama?

  Hii ni vita ya kifikra kwa kuwa ni waarabu ndio waasisi wa jina la Dar es Salaam hawakutambulika kwakuwa eti waliwatesa mababu zetu na wao ndio walioleta uislamu! lakini hata iwe vipi ukweli ndio huo na hii lugha tunayozungumza maneno yake karibia asilimia 75% ni ya kiarabu.

  Pata Darasa kidogo.


  DAR ...

  The Arabic word Dar, meaning abode, house, dwelling, habitation, land, country is combined with many other terms to specify a locality where a certain rule or condition holds.

  By far the most important is the division of the world in DARU 'L-ISLAM and DARU 'L-HARB.

  In the following some further concepts, some classical, some of them modern:


  Daru 'l-'Adl is the "Abode of Justice".

  Daru 'l-'Ahd (Abode of Covenant)
  The Daru 'l-'Ahd is a means by which Muslims can solve the dilemma that they have created for themselves through migration and immigration: how can one live as a true Muslim while living in a non-Islamic state? The Dar al-'Ahd is a non-Muslim state in which there is an agreement between Muslims and non-Muslims that each must respect the other's right to practice their own religion. (Source)


  Daru 'l-Bid'ah, being the "Abode of Heresy" or "Abode of Innovation" is where there has been a deliberate fabrication of Islamic Traditions, or Hadith, by various sects of Muslims in order to support their political and theological views.

  Daru 'l-Baghy is the " Abode of Usurpation" or where there is a heretical revolt against Caliphal authority, as in the case of the Najdi rebellions - where the most famous revolt was led by Musaylima.

  Daru 'l-Maslubah (Abode of Pillaged Land)

  Daru 's-Salaam (Abode of Peace) is used nearly interchangably with DARU 'L-ISLAM (Abode of Islam).

  Dar al-Sulh, is also at times translated as "the abode of peace" where Muslims, due to military/political stalemate, can have a treaty and conclude agreements with non-Muslims.
  However, lasting peace is always a peace where the Muslims dictate the conditions, note The Islamic Concept of Peace. It would be more correct to translate sulh as truce or armistice in this context. Classical Islamic law only knows the division in the area where Islam rules and the area that is not yet subjugated to Islamic rule, called Daru 'l-Harb. Permanent peace treaties with unbelievers are considered invalid. It is the command of Allah that the believers should fight until Islam rules supreme. A truce is only an option as long as the Muslims are not yet strong enough to win a war and become dominant.
   
 16. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #16
  Apr 11, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mi najua Mzizima ili pre date Dar es salaam, kwa hiyo waarabu waliendeleza tu makazi ya Wazaramo wa Barawa Mbwa Maji na Magogoni.
   
 17. E

  Engineer Mohamed JF-Expert Member

  #17
  Apr 13, 2008
  Joined: Jul 27, 2007
  Messages: 461
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  anakaa mitaa gani?
   
 18. E

  Engineer Mohamed JF-Expert Member

  #18
  Apr 13, 2008
  Joined: Jul 27, 2007
  Messages: 461
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  taratibu mkuu,punguza MATUSI.

  wengine tumehusu kwa BABA na MAMA.ingawa ni wana-CCM.
   
 19. Allah's Slave

  Allah's Slave JF-Expert Member

  #19
  Apr 13, 2008
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mngine huyu toka Haki-ngowi blog
  [​IMG]
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 20. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #20
  Apr 13, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0  UNABOA

  THREAD NI KUHUSU MABINTI WA KINGAZIJA WEWE UNALETA THESIS

  ZUNGUMZIA MBINTI WA KINGAZIJA

  SWALI:

  JE, YULE MOHAMMED WA TANESCO HANA BINTI UMRI WA KUOA?
   
Loading...