Ndugu wa mwanamke wamenichukia gafla baada ya tukio hili

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
988
3,318
Nlikuwa na mahusiano na binti wa Kondoa huko, miaka 4 ya mahusiano alikuwa ni malaya wa kutupwa kila siku kazi ilikuwa ni kumfuma na matukio ya umalaya alafu kumuowa akawa ananipiga chenga, uvumilivu ulivyonishinda na baada ya kuwekwa vikao na ndugu zangu kuwa nisanuke mapema huenda mm nidaraja yupo mwanaume anaempenda sema huenda anamsubiria ajitafute akijipata utachukuliwa mwanamke unajiona.

Kweli mwishoni mwa mwaka jana Nikafanya usajili mpya nikaweka ndani Binti mwingine pika pakua hadi sasa, kwa sasa kumetokea Chuki kubwa sana wale ndugu zake wametokea kunichukia hata salamu hakuna.

Ila moyoni nimesema tu kwa umalaya wa binti yao walitegemea mimi nifanyeje.
 
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
KATAA UNAFIKI WA 50/50.
FB_IMG_17077430848893304.jpg
 
Wewe usitupotezee muda, bado unampenda huyo Malaya wa kirangi.
Mrudie tuu usije ukafa bure kwa kushuhudia wahuni wanavyomgegeda
 
Back
Top Bottom