M4PI....! Kituko kingine cha CCM maslahi

M4PI....! Kituko kingine cha CCM maslahi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,190
Reaction score
829,143
Hii imetokea leo huko Mwanza ,eti vijana zaidi ya 180 wasio na vyama wameamua kufanya kongamano la kuhamasisha amani na maslahi ya taifa/jamii
M4PI kirefu chake ni Magufuli for public interest ...lakini Mimi naitafsiri kama magufuli for prohibited immigrant
Sinema ikakolezwa na wachangiaji kusema wameamua kumuunga mkono magufuli
Kisha wakarudisha kadi ya vyama walivyotoka, mlengwa kikiwa ni CHADEMA
Kisha wakaahidi kumpa Kura magufuli na kuahidi kuwahamasisha wengine kufanya hivho

Tujadili ::
- Ni kongamano LA vijana wasio na vyama lakini wana kadi za vyama vya siasa.... Upuuzi uliovuka mipaka
- Anaalikwa mwakilishi wa ccm kupokea hizo kadi chache zilizorudishwa na kusema kuwa alipigiwa simu na kuja fasta... Uongo wa kitoto hasa
- Vijana wanahojiwa mmoja mmoja wachache wao, wanasahau lengo la kongamano lao na kujibu Kama watu waliopangiwa majibu na ccm, na karibia wote wakimsifu Sana Magufuli.

Chombo cha habari kilichoalikwa ni Star TV na habari inapewa coverage kubwa mno... Na hii ndio M4PI,
 
Hii M4PI ni 1443725048826.jpg kuelekea countdown to incredible n amazing victory
 
Lumumba wamefungua BollyWood wanaekti picha za kihindi. Ulichokiona Mwanza sio igizo la kwanza....utakuwa tu umesahau lile la muumini aliyeenda kutubu kwa askofu kwamba yeye ndiye 'alinanihii'
 
Toroka uje huku UKAWA KUNA maji.na sabuni ya kutakasa _
 
Hii imetokea leo huko Mwanza ,eti vijana zaidi ya 180 wasio na vyama wameamua kufanya kongamano la kuhamasisha amani na maslahi ya taifa/jamii
M4PI kirefu chake ni Magufuli for public interest ...lakini Mimi naitafsiri kama magufuli for prohibited immigrant
Sinema ikakolezwa na wachangiaji kusema wameamua kumuunga mkono magufuli
Kisha wakarudisha kadi ya vyama walivyotoka, mlengwa kikiwa ni CHADEMA
Kisha wakaahidi kumpa Kura magufuli na kuahidi kuwahamasisha wengine kufanya hivho
Tujadili :::::::
-ni kongamano LA vijana wasio na vyama lakini wana kadi za vyama vya siasa.... Upuuzi uliovuka mipaka
-anaalikwa mwakilishi wa ccm kupokea hizo kadi chache zilizorudishwa na kusema kuwa alipigiwa simu na kuja fasta... Uongo wa kitoto hasa
-vijana wanahojiwa mmoja mmoja wachache wao, wanasahau lengo la kongamano lao na kujibu Kama watu waliopangiwa majibu na ccm, na karibia wote wakimsifu Sana magufuli
Chombo cha habari kilichoalikwa ni Star TV na habari inapewa coverage kubwa mno... Na hii ndio M4PI,

Naomba kujuzwa!kwa nini wanaosema wanaruisha kadi hawarudidhi kwenye vyama walivyochukulia kadi Ila wanazipeleka kwenye vyama vingine?mfano mimi nikichukua kitu kutoka kwa fulani,nikitaka kukirudisha napaswa kumpa yeye au mtu atakae mfikishia!nikimpatia mtu mwingine tofauti na yule aliyenipa inamaanisha nimemgawia na siyo kurudisha!Nijuavyo mimi!Kama nimekosea naomba kujuzwa!
 
The best lie of the century et hawana vyama lakini wana kasi za chadema mbona mnateseka sana
 
Mtaandika sana mwaka huu lakini Magufuli will be your next prezda!!
 
Haya maigizo ya CCM na nguvu kubwa itumikayo ni kilio kipya kwa Watanzania endapo CCM itarudi tena madarakani...
 
Watabuni mpaka choo cha bembea but rais ni Lowassa pekee. Uzuri wanagonga Mwamba. Ni kampeni za 1947 na hatudanganyiki.
 
Watabuni mpaka choo cha bembea but rais ni Lowassa pekee. Uzuri wanagonga Mwamba. Ni kampeni za 1947 na hatudanganyiki.

Naona kama utatishia kunywa sumu wakati Edo L akitangazwa ameshindwa. jipeni moyo ila ndo ukweli.
 
Watabuni mpaka choo cha bembea but rais ni Lowassa pekee. Uzuri wanagonga Mwamba. Ni kampeni za 1947 na hatudanganyiki.

Mahaba yamekuzidi Naona kama utatishia kunywa sumu wakati Edo L akitangazwa ameshindwa. jipeni moyo ila ndo ukweli.
 
Haya maigizo ya CCM na nguvu kubwa itumikayo ni kilio kipya kwa Watanzania endapo CCM itarudi tena madarakani...

kweli mkuu unalosema hawa magamba wakipita sijui kwa hila gani, tutaipata, hususani mkoa wa MBEYA, kwani juzi nimemsikia mtu wa ugambani anasema hawa watu wa mbeya ni viburi sana ole wao tupite watajuta kuwafahamu!!! kwani lazima yalipize kisasi kwa aibu waliyopewa na wana nchi,
 
Back
Top Bottom