Nimekuwa na muda mzuri sana toka juzi jana na leo hii nimekuwa napitia post mbalimbali humu jf za siasa na nilichogundua zaidi ya ritz hamna mwana ccm anayeweza kuhimili huo moto wa gas m4c unaowaka hapa.na kama yupo na ajitokeze.hakika nguvu ya umma ni nguvu ya Mungu!
Kwa ni lazima kuchangia? hata kusoma tu inatosha na hasa ukigundua waliotoa thread na mapro CDM unasepa ya nini kutafuta BAN maana Mods walivyokaa du km una hamu ingia hapa
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/306746-chadema-wanataka-kuuza-nchi.html
au hapa na sio lazima uchangia hoja zako
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/306712-nape-azungumzia-harambee-ya-chadema-3.html
hapo ujue watu humu ndani wamejaa na wanaperuzi mengine sio kila saa Siasa
nakushauri subiri 2015 tutachangia kwani vipo vyama vingi
na sio lazima CDM kama bado huamini malizia na hii kwani zote humu JF sio za CDM
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-cdm-anunuliwa-na-ccm-aanza-kuhujumu-cdm.html
Kwa ni lazima kuchangia? hata kusoma tu inatosha na hasa ukigundua waliotoa thread na mapro CDM unasepa ya nini kutafuta BAN maana Mods walivyokaa du km una hamu ingia hapa
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/306746-chadema-wanataka-kuuza-nchi.html
au hapa na sio lazima uchangia hoja zako
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/306712-nape-azungumzia-harambee-ya-chadema-3.html
hapo ujue watu humu ndani wamejaa na wanaperuzi mengine sio kila saa Siasa
nakushauri subiri 2015 tutachangia kwani vipo vyama vingi
na sio lazima CDM
Mkuu mimi nipoNimekuwa na muda mzuri sana toka juzi jana na leo hii nimekuwa napitia post mbalimbali humu jf za siasa na nilichogundua zaidi ya ritz hamna mwana ccm anayeweza kuhimili huo moto wa gas m4c unaowaka hapa.na kama yupo na ajitokeze.hakika nguvu ya umma ni nguvu ya Mungu!
Bado mchanga kwenye Siasa Huyo Zitto na Shibuda wapo kwenye hiyo M4C ndio maana nimekuambia ingia hizo thread uone hata huko MUSOMA alikotokea Chacha Wangwe CDM wanakorofishana kazi ndogo kwa nini usibofye hiyo linkUKWAJU acha kujidanganya hamna aliyebaki ccm hao hao wanaosoma wakiwamo mawaziri,wabunge wa ccm wanavutiwa na chadema na kama unabisha ngoja 2015 .kama wewe ni mwanasiasa unatakiwa upime upepo unakoelekea.be a great thinker
km unatumia Mchina huwezi asilani, lakini km unajua Justify, Right, left, hiyo ni centerKama mwandiko wa kwenye keybody ni huu,je wa kuandika na kalamu utakuwaje?
Mbona kuna thread nimewawekea hamtaki tukutane huko mnang'ang'ania hizi za CDM kwani hakuna THREAD HUKU ZINAMINYWA km hazina maslahi na CDM?kwanini utafute BAN mkuu angali hapa magreat thinkers tunaandika kwa kutumia nguvu za hoja? kiukweli kabisa kwa kukusaidia mkuu, nyinyiemi haiuziki hata kidogo! wametuibia vya kutosha, fanya hima njoo cdm tuendeleze ukombozi bado haujachelewa.