KIJOME
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 3,084
- 732
Hawa hapa mkuu concord nhWananchi wanasikiliza kwa makini habari za ukombozi mpaka raha.magamba yanaumia kwa uchungu.
Hawa hapa mkuu concord nhWananchi wanasikiliza kwa makini habari za ukombozi mpaka raha.magamba yanaumia kwa uchungu.
hahahaaa mkuu magamba yatanisaka kimya kimya maana siku hizi ni kung'oana kucha bila ganzi,tunayachapa kwenye mitandao kinoma...Mkuu kijome ungetupiamo picha inayokuonesha na wewe nikuone ulivyotoka na combat
hahahaaa mkuu magamba yatanisaka kimya kimya maana siku hizi ni kung'oana kucha bila ganzi,tunayachapa kwenye mitandao kinoma...
kumbe chadema mnahubiri injili?
M4C Dar Es Salaam inawatangazia mkutano wa hadhara utakaofanyika viwanja vya stendi ya Tabata-Kimanga.
Ni KESHO tarehe 11/08/2013 ambapo Makamanda, Mch. Msigwa, Mh. Mabere Marando, Mh. John Heche, na mwenyeji wao Mh. Mama Raheli Mashishanga wataizizimisha Tabata na Dar Es Salaam nzima jioni ya leo. Karibuni wote.
Chadema chama cha watu,
Chadema Chama cha Ukombozi.
Njooni nyote tusikilize sera za ukombozi kutoka kwa Makanda.
People's Power!
Ng'wanangwa.
Tena kwa taarifa yao mkuu mkutano wa jana ni wa kata sio wa jimbo wala kitaifa,asanteni wana kimanga kwa muitikio wenu pamoja tutashinda!!Magamba mkiongozwa na Ritz mlikuwa mnasubiri picha je mnataka nini tena?na hapo hakuna alieletwa na gari wala aliepewa posho.Ngojeni wiki iijayo jumapili tutawambia wapi tutalikita tena.