M4C Tabata Kimanga: Msigwa, Marando, Heche, Mashishanga Kuiteka Dar Es Salaam

Wacha unafiki kama wa makongoro wa kusema anatoa siku tatizo kizimba king'olewe jion makamanda wakakipaka na hadi leo hakijabomolewa.Nilikuambia mkutano ulopita ya kuwa huifahamu Kimanga kwa magamba hata ni ndoto kushinda udiwani.Mahanga alikuja na basi isuzu ambalo watu hawakuzidi 20 na kashindwa kufanya mkutano.
Ngoja tusubiri aibu kama ya siku ile mkutano kukosa watu, ndiyo mmeamua kuupeleka Tabata Kimanga kituoni sababu padogo.

Kwa nini msipeleke pale uwanjani shule muumbuke.

Tunasubiri picha.
 
Ngoja tusubiri aibu kama ya siku ile mkutano kukosa watu, ndiyo mmeamua kuupeleka Tabata Kimanga kituoni sababu padogo.

Kwa nini msipeleke pale uwanjani shule muumbuke.

Tunasubiri picha.

Na wewe kaokote habari za chama chako ziko nyingi tu! Au zote ni mbaya ndio maana mnazisusa?
 
Uwanja gani wa shule mkuu?umeanza uzushi wako,inaonekana uijui vizuri tabata!

Uwanja wa shule unaouongelea upo tabata liwiti na hiyo ni kata ya segerea na diwani wake ni wa Chadema,leo hii tupo kata ya Kimanga ambapo diwani wake pia ni wa chadema!

Njoja nikavae gwanda niwahi mkutanoni!

Hahaha hahaha hahaha hahaha umelijbu hili gamba mpaka raha :majani7: ridhieani ni janga la taifa.
 
Magamba yakisikia mikutano ya chadema yanaweweseka kama hivi.. :yeald: Hahaha hahaha :peace:
 
Magamba yakisikia mikutano ya chadema yanaweweseka kama hivi.. :yeld: Hahaha hahaha :peace:
 
Mimi nipo Tabata Kimanga stand muda huu na wala hakuna dalili za mkutano leo nadhani tarehe zimechanganywa nasikia huo mkutano ni Kesho, 11/8/2013 ! Kama kuna mtu ana taarifa za Uhakika atuwekee hapa.
 
:Yield: mkuu kijome mbiu nyingine imelia tabata people's power :peace:
 
Chadema. .chadema. ..chadema aaaaa people's power. ...Tanzania. .Tanzania. .Tanzania. ..aaaa people's power :peace: :majani7: :yield:
 
nipo naeneo ya jiandae,hakujipanga mmekurupuka huu ndio ukweli,msikimbilie kufanya mikutano chama ni wanachama
Acha uzushi wewe upo maeneo ya jiandae viongozi wako wa chama unawajua?au unaona vizimba vinaota kama uyoga unafikiri ni magamba yamevijenga?acheni unafiki watanzania...
 
Acha uzushi wewe upo maeneo ya jiandae viongozi wako wa chama unawajua?au unaona vizimba vinaota kama uyoga unafikiri ni magamba yamevijenga?acheni unafiki watanzania...

ungesoma kwanza comment zangu za mwanzo ndo ungenijibu
 
Nipo kiongozi kesho hapakaliki kimanga ni show funika bovu!!!Nitakuwa naongoza mashambulizi kule na kupanga safu ya makamanda...mkuu concord nh
Kamanda kijome ubarikiwe sana, kazi ya ukombozi sio rahisi hata kidogo.usisahau picha mkuu ni muhimu.pia red brigade waimarishe ulinzi maana style mpya ya ccm na policcm ni kulipua mikutano ya chadema. Sidhani kama yunahitaji ulinzi wa policcm tutajilinda wenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Wewe kweli una akili za BAVICHA, yani kati ya majimbo nane, CHADEMA kushikiria majimbo mawili tu mnajiona mnakubalika Dar?

Au hujui hata kisa cha kwanini hayo majimbo mawili yameweza kwenda CHADEMA?, muulize Mnyika na Mdee watakueleza ushindi wao ulitokana na nini maana inaonyesha hujui lolote wewe.

Tukifanikiwa kudhibiti magamba yasiibe kura tutanyakuwa majimbo mengi zaidi.hayo majimbo unayoringia mengi mmeiba kura.
 
Ahsante chadema kwa kugawa elimu ya ukombozi kwa watanzania wote,siku zote najiuliza TANZANIA bila chadema ingekuwa hai sasa?naomba kujua alipo aliyegombea ubunge SEGEREA ndugu MPENDAZOE!
Dah, hivi kweli mpendazoe kaishia wapi tena?
 
Kama we msomi utakua bado hujaelimika! Martin luther alianza pekea ake wenye akili wakamfuata wajinga wakampga risas ila marekan imekombolewa
 
Back
Top Bottom