Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,453
- 283,788
Habari za kuaminika ni kuwa ametuma team ya watu wazito akiwemo mama yake na baadhi ya wasomi wenye hadhi ya uprofessa, kwa Kamanda Mbowe ili ku-reconcile.
Nahisi uchaguzi wa mwaka 2015 matokeo yatakuwa kama ifuatavyo:
CDM 69%; CCM 21%; CUF 6%; NCCR 3% ......Vyama vilivyobaki 0.000002%

Makamanda nikiangalia hii picha machoz yananilengalenga lakin najizuia nisilie. Kama Mungu yupo upande wa CDM nani atakuwa kinyume na CDM? Hii ni taarifa kwa ma ccm mafisad kuwa tunda limeshaivia mtini kudondoka chini halina budi. pIPOOOOOOOOOOOOOOOZ, tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu, Pamoja Daima Makamanda!!
Tumaini Makene hivi unamdangaya nani lakini.
Tumaini Makene hivi unamdangaya nani lakini.
mpera mpera mwanzo mwisho, nikisema chadema! Mnajibu pamoja daimaaaa!!
Mkuu you are not serious.