M4C PAMOJA DAIMA ni nini?

M4C PAMOJA DAIMA ni nini?

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Operation mpya ya chadema nchi nzima iitwayo "m4c pamoja daima" ni kuimarisha chama au ni kampeni za udiwani tujuzane wale mnaojuwa.
 
Magamba mbona mkisikia operations za chadema mbona mna weweseka? Hebu tulieni dawa iwaingie ebo!
 
Pamoja daima ni operesheni kwa ajili ya kuwaunganisha Watanzania wote kuwa na uthubutu wa kudai haki zao.
Kwa mfano uboreshwaji wa daftari la wapiga kura, Katiba Mpya, Elimu bora, kupandishwa holela bei za vitu, Ushiriki wa wananchi kupiga kura na kugombea nyadhifa mbalimbali, Kukataa watoa rushwa kusaka uongozi, Kujitambua kwa Mtanganyika Mtanzania na Mzanzibar ndani ya Tanzania moja yenye nguvu, kulinda rasilimali zetu, kuukataa udini na ukabila na waenezi wake na zaidi ya yote kupiga vita dhambi kubwa ya woga.
 
Hizi ni kampeni zika chadema daima subiri uone hii sacos ndiyo tunaizika hivi hatua kwa hatua.
 
Hizo huduma ulizotaja zote zinatolewa na serikali wala siyo za kudai pengine mnalenu jambo ila siyo unayosema hapo.
 
Kuna njia tofauti za kufikia wananchi. Wakati CCM wanategemea polisi, jeshi Na serikali, Chadema hawana mjomba inabidi ku-force
 
Hizo huduma ulizotaja zote zinatolewa na serikali wala siyo za kudai pengine mnalenu jambo ila siyo unayosema hapo.

fikiri kidogo basi japo ubongo wako hauwezi kufanya hivyo! Huduma zinazotlewa na serikali ni haki ya kila mwananchi kwani ni kodi zao so kama hazipatikani au zinapandishwa bei katikati ya bajeti ni makosa na wananchi wana haki ya kudai.
Haki hudaiwa haiombwi! Na hakuna huduma ya bure duniani zote ni kodi wanazotozwa na kubadilishwa kuwa huduma.
Waelimishe na wenzako wenye mawazo mgando yasiyotaka mabadiliko!
Hongereni cdm kwa kuuelimisha umma waache ccm walale wakiuota ushindi wa kununua kwa pesa wanazotaraji kuziiba hazina manake walishaanza kuupanga wizi.
 
Hawa viongozi wa cdm hususam mwenyekiti ni walafi wamekuja na cdm daima m4c imekufa kazi yao nikuingiza cdm kwenye madeni na kulrta bajeti ya kuikopesha cdm kiongozi anazinguka na elkopta tatu alafi anatuwambia shangingi ni garama za anasa je kati ya shangingi na elkopza ipi unatumia matumizi makubwa narudia cdm tutaikombowa tu kutoka kwa hawa wazee wa elkopta ndiomana hawataki baraza kuu eti cdm haina ela za elkopta zinapatikana -------
 
DIVISION 5 at work

Mna hakika helcopter ziko tatu.??
Nahisi zilikuwa nne ila moja imeenda DUBAI..
 
Hizi ni kampeni zika chadema daima subiri uone hii sacos ndiyo tunaizika hivi hatua kwa hatua.

Kweli unazi mbaya kibaya zaidi nyie jua kali wazazi wako au majirani zako wanaokuzunguka kule kijijini kwenu umeme na maji ni kama zali la mentali kibaya zaidi wakila milo miwili wanaona miujiza wewe umekaa tu hapo na ishu zako za kuungaunga unaongea pumba tu kwa nini kila kitu kizuri kwako ni kibaya? Si bure una matatizo wewe na mapenzi yako ya ccm nataka nikuambie ni bora uishi na mchawi akikuloga utaombewa na kupona kuliko kuishi na mnafki mna laana hata kwenye maandiko matakatifu.
 
Back
Top Bottom