Operation mpya ya chadema nchi nzima iitwayo "m4c pamoja daima" ni kuimarisha chama au ni kampeni za udiwani tujuzane wale mnaojuwa.
Ni operesheni maalumu ya kukusanya pesa za MTEI na MBOWE kupitia ruzuku na misaada ya chama, akina Lissu na msigwa wanaingia kichwa kichwa bila kujua malengo hasa ya ukusanyaji wa pesa za SACCOS.