M4C PAMOJA DAIMA ni nini?

M4C PAMOJA DAIMA ni nini?

Operation mpya ya chadema nchi nzima iitwayo "m4c pamoja daima" ni kuimarisha chama au ni kampeni za udiwani tujuzane wale mnaojuwa.
JIBU:Big Results Now na Kilimo Kwanza ya ccm ni kuwaacha mawaziri mizigo kupeta na kuagiza mchele tani na tani kutoka Thailand.
 
nipango mzima wa katiba na kuwakumbusha wananchi kujiandikisha kweye daftari lakudum la wapigakura wakati ukifika
 
Ikiwa leo operation pamoja daima imeanza rasmi katika mikoa kadhaa na itadumu kwa muda wa wiki mbili (siku 14) mikoa yote ya Tanzania bara isipokuwa Lindi na Mtwara, mmoja wa viongozi mwandamizi wa makao makuu ya CDM amesema wakati wakiwa katika kikao walipekuliwa sana hususan simu zao ikiwa kama wana mawasiliano na Zitto Kabwe hivyo amepasha kuwa lengo kuu la operationhii ni kutaka kukutana na wajumbe wote wa mkutano mkuu na kuwatisha kabla ya kuitisha na kusikiliza rufaa ya Zitto, sasa kama chama kinatumia nguvu zote hizo kupambana na mtu mmoja tu inatoa taswira gani maana bajeti ya operation nzima ni mil 290
 
mmmh,haya nayo mapya
 
ccm hamna kumbukumbu ya mambo mnayoyafanya, au labda mnadhani hatuyafahamu.
Hebu nipe majibu ya hawa watu nani alipambana nao!

  1. Edward Moringe Sokoine
  2. Abdu Jumbe Mwinyi
  3. Seif Sharif Hamad
  4. Imran Hussein Kombe
  5. Lyatonga Mrema
  6. Horace Kolimba
 
Hayo mambo ya chama kimoja na hayana ukweli wowote, sokoine alikufa kwa ajali ina maaana na Chacha Wange alivyokufa kwa ajali ni Makao makuu yapo nyuma ya hiyo?
 
We kweli Mburula....Hukusikia Malengo ya M4C PAMOJA DAIMA...Mbona Magamba mnaweweseka....
 
We kweli Mburula....Hukusikia Malengo ya M4C PAMOJA DAIMA...Mbona Magamba mnaweweseka....

Malengo ni kukutana na wajumbe wa mkutano mkuu ili kuangalia ni jinsi gani utaweza kummaliza Zitto kwenye rufaa yake baada ya kuburuzwa vibaya mahakamani hivyo Chama kimeamua kisikate rufaa maana kushinda kwake ni ngumu sana ila wakutane na wajumbe na kuwapa maelekezo ya kufanya pindi baraza litakapoitwa hapo mwezi march katikati
 
Ivi hii inafaida Gani kwa Taifa ?

CDM Wanatembea na CHOPA Tanzania Nzima kueneza Chuki na Hasira kwa Wananchi hiii.....!!

Chadema Hovyo tupu.
 
tuko pamoja ni mpya labda ni ya ccm,ya cdm ni pamoja daima
 
wewe ulichokiandika ni uchochezi na kuwapa watu wengine hasira kama mimi ulivyonichukiza?
 
Ivi hii inafaida Gani kwa Taifa ?

CDM Wanatembea na CHOPA Tanzania Nzima kueneza Chuki na Hasira kwa Wananchi hiii.....!!

Chadema Hovyo tupu.

hiyo oparation tuko pamoja ni yakinanape kinana, na kapuya.
 
Inalengo la kufungua fikra za wadanganyika dhidi ya watawala walevi wa madaraka, Kuhusu chopa kamuulize kapuya,unataka wapande punda? ukipata majibu utamfaham hovyo ni nani.
 
Hizo ni kauli mbiu za ulaghai wa kisiasa.
 
Back
Top Bottom