Wakuu,
Nadhani tokea hii Operation ianze kadiri siku zinavyokweda watu wanazidi kuielewa CHADEMA kuwa kipo kwa ajili ya watanzania wote, huu umati wa Bukoba kwakweli ni funika haijawahi kutokea bukoba tokea mfumo wa vyama vingi uanze.
Ukweli ni kwamba hiki ni kiashiria kwamba watanzania wamechoka na utawala uliopo, hebu angalieni hizi picha hapa chini.
Katika mkutano wa Leo kilichowaacha wananchi midomo wazi ni pale Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema aliposema kwamba "Kikwete ni rais wa kwanza nchi hii kwenda ulaya kuomba Kunde, huku kaacha dhahabu na almasi bongo".
View attachment 134859umati wa watu ukishuhudia wakati helcopter ikituaView attachment 134860
Meza kuu Kamanda Lema akibadilishana mawazo na Mohamedi Mtoi
View attachment 134861View attachment 134862View attachment 134863View attachment 134864
Picha zote kwa hisani ya Mtu wa Tanganyika .......... peopleeeeezzzzzzz!!!!!
Hivi mdau ni wewe uliye meza kuu hapo juu? Uwa napenda article zako kumbe nawe ni M4C? Well basi chadema ina vichwa vizuri kama ni wewe!!
mambo hapa ni safii.?
Ipo kwa ajil ya wachaga
baba hata mimi nimeikubali.m4c pamoja daima ndio habari ya mujuni
Wakati chadema wanatumia bilioni 1.5 kurusha CHOPA TATU kwa muda wao wote wa operations Zitto Z Kabwe.....
Mgombea wao wa UDIWANI kata ya SOMBETINI Arusha ndg Ally Bananga anahaha kuomba omba misaada ili aendeshe kampeni ........
Ameweka namba yke ili atumiwe michango ... 0754962926.....
Shame on you Chadema ya Slaa na Mbowe .....
Bukoba ki upinzani ilijengwa na kuharibiwa Cuf, Lwakatare alipohama Cuf hasira za wanachama wake zilikuwa juu sana kiasi cha kupoteza hekima na busara za kawaida, waliamua kwa makusudi kupandikiza siasa za udini kwa kiwango cha kuchefua, matokeo yake chama kikahamia kwa ccm na kikaanguka toka kura zaidi ya 16000 za ubunge 2005 kwenda kura 200, kisa? cuf wanamuokoa wa dini yetu!
ASA NI WAKATI WA WATANZANIA HASA WAISLAM KUTAFAKARI MAHUSIANO KATI YA CHADEMA NA CDU- Christian Democract Union cha UJERUNMANI YANAFAIDA GANI KWAO...?
"Kwenye hili slaa hajafanya siasa ya kawaida. Kuweka imani na ishara ya Zitto kabwe kwenye sanduku na kuongezea msalaba juu,huku akifahamu kabisa kuwa Zitto Kabwe ni muislam thabiti. haimaanishi tu kwamba ni siasa, inamaanisha kuwa Zitto anadharirishwa yeye pamoja na uislamu wake. Dokta slaa ndiye aliyeyapokea maandamano haya....dokta slaa ni padri, msigwa ni mcgungaji. Sugu ni mkristo. Hakukuwa na muislam hata mmoja kwenye timu yao....wameamua kutufedhehesha kwa kutumia dini yao. Kwenye hili linalogusa imani za dini, hatutaachana salama hata kidogo..
Kwa Mara ya kwanza leo naomba niseme wazi Mimi sio mdini lakini sipo tayari na siwezi kuvumilia ninapoona dini yangu inadharirishwa makusudi, muumini mwenzangu Wa kiislam anadharirishwa makusudi.
my take:
akili finyu hutesa mwili
...""---source Habib Mmchange
mambo hapa ni safii.?
naona
ebitoke byakwita amagezi kaziro.Jaribu kula vyakula vya aina nyingine ubongo ufunguke
naona chadema wameshaanza kukupa shavu...! wamekupeleka tu bukoba kwa sababu za udini ili wasiaibike kwa sababu makamanda wanawatukana sana waislamu...!